Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali.
Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda...
Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa...
Hellow guys,
Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.
Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia...
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna...
Wadau Habari zenu,
Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
Habari wakuu poleni na majukumu.
Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.
Je, tatizo nini itakuwa?
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada...
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati...
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.
Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua...
Wasalaam madaktari na wahenga...
Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.
Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.
Kwanza ameokoka na katika uchumba...
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.
Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
Habari zenu wana JF!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina...
Katika kupita pita kwenye mtandao nilikutana na calories calculator hii hapa http://bit.ly/1qDxrrO ambayo, inakokotoa calorie unazotakiwa ule kwasiku hiyo ni kutokana umri ,kilo zako na urefu...
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani hufanyika katika wiki ya kwanza ya Agosti kila mwaka, (Agosti 1-7)
Kaulimbiu ya mwaka 2024 ni Kuziba Pengo: Msaada wa Unyonyeshaji kwa Wote, ikilenga kuwaandimisha...
Habarini madaktari.
mtoto wangu wa miaka 8 amepata tatizo la chronic tonsils ( nilisikia madaktari wakisema kuwa hizo tezi zimekuwa septic. ameandikiwa sindano kwa siku 7 sindano hiyo inaitwa...
Denis Mpagaze
1. Haya matunda watu wa Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe wanayaita masongwe; wahaya, wanyambo na waganda wanayaita tuntunu!
2. Waha, warundi na wanyarwanda wanayaita intumbaswa...