Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa dawa ya asili (ya kienyeji isiyo na madhara) inayoweza kuyeyusha Mafuta mwilini,
Najua huku wapo wajuzi wa mambo ya afya na tiba a silk.
Wasalaam.
Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu.
Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi.
Jino ni la juu,nina...
Kama kichwa cha habari elezwa hapo juu kinavyojieleza ,
Leo nikiwa naelekea Posta tokea Kimara mara mama moja akawa anapayuka na kumshambulia kaka fulani kwamba kashindwa nini kudindisha mbele ya...
Habari wapendwa
Phamarcy Gani kwa mkazi wa Dsm ambayo hutoa dawa kwa kadi ya bima?....
maana mgonjwa kapewa karatasi la dawa akanunue farmacy wanazotumia bima.
Je ukienda mtu tofauti na mgonjwa...
Kiukweli naandika uzi huu nikiwa nabubujikwa na machozi, mana nimelipia hela ya operesheni na kupewa kitanda..kinachoendelea kila siku madaktari wananibadilishia siku ya kufanyiwa operesheni.na...
Habari za usiku ndugu zangu wa jf nilikuwa nataka kujua ukweli kuhusu kwamba "mtoto wa kiume pindi kitovu chake kikikatika kikaangukia kwenye uume wake wanadai kwamba mtoto anakuwa hanisi...
1. Nina kabiliwa na tatizo la korodani yangu ya upande wa kushoto kuwa ndogo na laini kuliko ya upande wa kulia sambamba na uwezo wa kugegeda kupungua.
2. Ninalo tatizo la kuwa na mate lain yanye...
ZIFAHAMU FAIDA 7 MUHIMU ZA KUJAMIIANA KWA KIWANGO STAHIKI.
Tendo la kujamiiana kwa walio wengi limekuwa ni tendon bora sana has a likifanywa na wenza ambao kila mmoja ana mvuto wa kimapenzi na...
Habari za asubuhi wapendwa natumaini ni Jumatatu nyingine tena ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu.
Je kwa...
Habari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio...
Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya.
Hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya...
Wana JF Doctor vipi heka heka za Uchaguzi?Mwenzeni nina tatizo la kusinzia ofisini na nikiamka naamka nimechoka macho yanakuwa mazito na kuchoka.
Naamka alfajiri sana( 5.30am) sana kwenda kazi na...
Ma daktari wetu huku Africa huwa wanajitahidi sana kutuhudumia, wengine hujituma hadi kufanya tafiti ya tiba mbali mbali kwa maradhi mengine yanayoibuka kila leo, ila sasa wana changamoto moja tu...
Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri !
Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika...
As an add-on to their previously secretive partnership, Genmab is now licensing its bispecific antibodies for Gilead‘s pursuit of an HIV cure for as much as €248M.
At the top of the Pyramid of...
Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo?
Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]