HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Sitaki kuwachosha wakuu mimi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miezi tisa kama wanawake okey.
Naombeni majibu yenu wakuu.
Hi,
Nimeshika ujauzito ila nimeshindwa kuelewa kama ni wa Rafiki yangu au Mr..
Nilikutana na Rafiki jioni ya siku ya kumi na nne ya mzunguko wangu, usiku nikakutana na mr, baada ya hapo...
Habari ndugu zangu. Poleni na majukumu:
Naomba msaada kujua hospital gani kwa Tanzania imeendelea kwa kufanya operation ya mjamzito bila kuacha kovu kubwa? Iwe ya private au government ambayo...
Salaam.
Mwanangu amepata Tatizo la UTI baada yakumpeleka Hospital Leo Asubuh, Na kilichofanya nimpeleke kupima ni kutokana Na usiku mwili ulipandisha joto Sana mpaka ikawa inaogopesha...
Hello, naombeni msaada wa kitaalam, je kuna matatizo yoyote mwanamke kuzaa akiwa na miaka 40? Kama yapo ni yapi na umri wa ukomo kwa mwanamke kuzaa kiafya ni upi?
Jamani ni dawa gan ya meno nikitumia kwanza itaondoa ukungu ule mweusi unaokaa kweny meno kam vile ya mvuta sigara dawa zipo nyingi lakini nahitaji kujua dawa moja tu ntajie kwa jina ambayo...
Mwenzenu kuna kitu kinaniuma lakini sijui ni nini, leo ni weak ya pili sasa, yaani kifuani katikati ya mapafu nasikia kama kichomi flani hivi.
Sijawahi kupata tatizo hilo tangu nizaliwe. Sasa...
Ndugu zanguni wana jukwaa poleni na mishughuliko ya mwanzo wa mwaka na hongereni kwa kuumaliza mwaka. Ndugu zanguni naomba ushauri, mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje...
mtoto wangu Wa mwaka mmoja anakohoa sana hasa ikfka usku
nmempeleka hospital Mara kadhaa na amechomwa sana sndano lakn haponi!dozi ikiisha tu anaanza kukohoa,
naomben ushauri sijui nimpe dawa gan...
Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
Habari wakuu,
Nimekuwa nasumbuliwa sana na mishipa kuvuta na kuuma mpk mguu unacheza cheza kuanzia usawa wa tumbo mkono wa kulia yaani sina raha kabisa. Nimeenda hospitali nikapewa dawa lkn...
ELIMANATE THE PROCESSED FOODS
Eliminate the processed foods,the hybrid foods,the GMO foods,eat only organic fruits and Vegatables with seeds which has a positive and not a negative effect on your...
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama...
[emoji290] hakuna kitu cha thamani kama salamu, watu wengi sana mnapuuza salamu za mitandaoni mkizani ya kuwa nyie ni bora zaidi na hata hamna muda wa kupoteza, siku ya kukata roho utatamani Dunia...