Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Natafuta P. O. P powder anayejua unakopatikana anijuze na bei unauzwaje. Namba yangu 0717983320
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Za leo wapendwa natumai mko poa naomba msaada wenu ni kama wiki hivi nimegundua nimepoteza uwezo wa kunusa iwe mnuko au mnukio sisikii chochote iwe chakula, rotion, au kitu kinacho ungua Sijui...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waku hamjambo, Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
7 Reactions
71 Replies
20K Views
WanaJf kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali zinazoomba msaada hasa kwa wanawake kutoridhika wakiwa faragha na hivyo lawama kutumiwa wanaume kwa kutowaridhisha pia wanaume wengi huwa...
1 Reactions
114 Replies
94K Views
1 Reactions
202 Replies
36K Views
Habari wana jamvi? Nimekuja hapa kuomba msaada kwa Wataalamu wanaoelewa haswa kuhusu tatizo la mtoto mdogo miaka 1 - 4 kutokwa na damu puani wakati wa usiku alalapo. -Je, tatizo hili husababiswa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
wakuu heshima yenu,wakuu je juna kipimo kingine cha mimba zaidi ya hiv vya kuchovya kwenye mkojo! Mpenzi wangu amemiss bleed kwa 6days now,alikuwa abreed tarehe 24 mwezi huu but til now hajaona...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
Wapendwa Leo nauanza Mwaka sasa nimemaliza dozi jtano na Leo in Siku ya 5 naweza kupiga mvinyo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Jamii Forum dokta Kuna ugonjwa unamuandaa mtoto wa kaka yangu nashindwa kuuelewa yaani anatokwa na mapele makubwa sehemu za kidevuni,kwenye mikono kwenye kisogo na hata kwenye paji la uso...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wanaojua kunafaida gani kusafisha meno hospitalini? Kwa wenye uzoefu wa kitabibu na wale waliowahi kusafishwa nipeni ili nipate faida au hasara zake.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jaman nadhani kuna watu wa design kama yangu mie mbinti !Jamani mie nimekuwa napenda kula kula vitu viduchu duchu mnoo !yaani nahisi kuna kitu si bure ! imefikia hatua sikosi kitu cha kula kula...
4 Reactions
113 Replies
9K Views
Mabibi na mabwana natumaini hamjambo kabisa. Mwenzenu niko hapa nkwa heshima na taadhima nina hitaji msaada wa kitaalamu kutoka kwenu. Shida yangu kubwa ni kuwa nahitaji mnisaidie kama ipo njia...
0 Reactions
133 Replies
192K Views
wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa hili, linalofaidiwa na wachache waliopewa jina la ‘wajanja’. Poleni sana… Leo nataka tusemezane kitu cha tofauti kabisa, sio kigeni kwa yeyote ila...
10 Reactions
66 Replies
16K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza wapendwa wangu wana JF wenzangu : Baba yangu ni mgonjwa yapata miaka mitatu,matibabu amepatiwa bila mafanikio,na anatibiwa kwa kubahatisha kwani...
1 Reactions
80 Replies
9K Views
Nimepima mduara au mzunguko wa uume ukiwa umesimama nimetumia Uzi kuzungusha mpaka ulipokutana nikaweka alama kisha nikapima kwenye rula upande wa inch kuanzia 0 nikapata inch 5.3 je nikiwango...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasalaam wanaJF. Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio. Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini...
6 Reactions
95 Replies
11K Views
Habari wana jamii, Kuna ndugu yangu wa damu anasumbuliwa na tatizo la kinyesi kwa bintie wa miezi kumi. Mtoto ana afya nzuri kabisa kila choo chake ndio tatizo. Anjisaidia Mara kwa mara kidogo...
0 Reactions
30 Replies
15K Views
Habari zenu wana jf mwenzenu nasumbuliwa na mate mazito kitu kinanibana ndani ya koo wakati mwingine niki kohoa natoa vichembechemb vidogo vidogo vyeny halufu mbaya kam mtu mwenye tatizo la...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari za mchana wana JF wenzangu, poleni na Majukumu ya kila leo. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Mimi ni mjasilia mali, ambaye ili kuyatimiza majukumu yangu (Kuchoma Chapati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…