Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Huyu anaitwa Francves ndio jina lake halisi ni kuruta mstafu wa jeshi.....mwaka 2006 alikutwa na High Blood Pressure. So, nini maana ya presha ya juu ya damu acheni ujinga nafundisha masomo afu...
0 Reactions
3 Replies
459 Views
Some dental anesthetics and Vitamin B12 injections now contain Graphene August 6, 2024 By Diana Wojtkowiak- MD, PhD Image courtesy: Graphene Oxide TEM Substrates Graphene Oxide TEM Substrates –...
1 Reactions
8 Replies
524 Views
Wakuu habari zenu, Kama nimevyoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo niliyoandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya...
4 Reactions
145 Replies
17K Views
Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike! Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji...
1 Reactions
5 Replies
906 Views
Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu. Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu? Kama ni kweli, Kwa nini? Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu...
1 Reactions
3 Replies
303 Views
Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na...
5 Reactions
13 Replies
634 Views
Kiukweli hata mimi huwa ninaogopa baadhi ya mambo yakinisibu, lakini huwa najipa Moyo kuwa yatapita tu. Hata Liwe Jambo kubwa kiasi gani najipa moyo mwenyewe tu kuwa nitatoboa tu. Na mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Montelukast sodium 10g Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa...
3 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu...
2 Reactions
42 Replies
950 Views
Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu...
1 Reactions
3 Replies
13K Views
Wakuu, Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha! Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani. Swali...
2 Reactions
19 Replies
446 Views
Nafahamu utendaji wa figo, kuchuja uchafu na vitu vinginge vilivyo katika damu na kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya mkojo. Na hii hufanyika mara thelathini na ushee hivi kwa masaa 24...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo. ✓ Wholesale au retail. ✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Hivi walevi mkinywa pombe nyingi moyo hauwaumi? Hii husababishwa na nini? Madaktari jibuni.
1 Reactions
9 Replies
632 Views
Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda . Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni...
4 Reactions
8 Replies
365 Views
Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani. Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970...
1 Reactions
6 Replies
437 Views
Habari wanaJF Wapo wanawake ambao hujifungua kwa njia ya kawaida ila kuna wengine hujifungua kwa operation nini kinapelekea wanawake kujifungua kwa operation? Kwa wajuzi mnaweza mkatiririka
1 Reactions
5 Replies
580 Views
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu. Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha. Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa...
7 Reactions
82 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…