Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika...
Habari wana JF
Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari.
Ahsanteni.
Habari zenu members napenda kufàhamu kama kuna madhara kwa mtoto anayependa sana kula vitunguu maji na swaumu au kama ana upungufu wa vitamin naomba kuwasilisha!
Wakuu,
Leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu kali sana wakikujeruhi.
Naomba msaada wanaJF,
Mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu. Imefikia mpaka naonekana kama mvuta bangi.
Je, naweza kutumia dawa gani ili yaweze kuwa...
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini.
Kwa wanaojua...
Habari wakuu..
Ni hivi...
Kuna dawa ya kupunguza acid inayotoka kwenye uke ambayo ikizidi huweza kuuwa sperms za mwanaume na kusababisha tatizo la kuto shika mimba?
Zipi?
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist...
Tafadhali, mtoto wangu tena wa kike meno yake yameota bila mpangilio na ni meno ya mbele (ya chini). kama kuna mtu anajua wapi naweza kumwekea braces kwa hapa tz kwa dsm au mikoani, na kama kuna...
Habari wana JF,
Kwa sisi tunaopenda kufanya mazoezi muda huu tumeshaacha kitanda na kuanza ku burn calories.
Naomba kujuwa ni mazoezi ya namna gani yanaweza kuondoa fat belt kwa haraka...
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
kumekuwa na hali ya mtu kuota vijinyama sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano dada zetu wakiota usoni wanaita kidoti! je ukiota sehemu nyingine ya mwili ni nini? je ni ugonjwa? na kama ni ugonjwa...
Unywaji wa kahawa kiasi ni salama , na vikombe vitatu kwa siku vya kahawa vinaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya , kulinga na utafiti uliofanywa na BMJ.
Utafiti huo ulibaini kuwa unywaji wa...
Wadau
Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara...
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!