Toka nimepata akili kuna dhana tumejengewa kuwa mtoto akizaliwa ususani wa kiume ,basi shart mzazi mwangaloe kwa makin na kuwa kitovu kikikatika kisidondokee kweny uchochoro wa uboo.
Tafadhali...
habari zenu..
samahani mimi ni mvulana wa miaka 19 ninatatizo tangu nibalehe sijawahi kumtamani mwanamke, ila nina feeling ya kuwafanya ma gay but mm iko kitu sikipendi coz namwogopa sana mungu...
Ni vyakula gani mtu anaweza kutumia ili kuzuia wembamba wa kupitiliza hali hii ya wembamba inanikosesha raha mda mwingne, maana mimi ni mwembamba kupitiliza nilishawahi kwenda hosptalini kupima...
Nina dawa ya asili ya kuondoa michirizi ya ngozi inayotokana na mimba,unene na kutumia vipodozi vikali.Inaondoa kwa mda wa mwezi mmoja.Kwa mawasiliano zaidi pigs 0715 942 744.Niko Dar
jamani mi nikijana wa miaka 20 na sijawahi jiusisha na mahusiano kutoka na nakuwa na uume mdo nikiogopa kuaibika kwa yeyote mwenye kuijua dawa ya kuepukana na tatizo ili nahitaji msaada jamani
Nauliza utofauti wa wataalam wafuatao:
Nutritionists
Dietitians
Herbalists
Je kwa hapa Tanzania, hawa wataalam wanatoka wapi!?
Je jamii na serikali inanufaika na wataalam wapi kati ya hao...
Wakuu habarini za mihangaiko.
Ninatatizo la kuumwa na mishipa ya kichwa (katikati ya nyusi za uso na sikio) upande wa kushoto na kulia. Ni tatizo lililojitokeza kama wk mbili hivi zilizopita...
Natumaini wote ni wazima humu ndani.
Nina tatizo hivyo nahitaji kumuona mtaalamu wa mambo ya saikolojia au kuunganishwa na mwanasaikolojia yeyote ila nikimpata aliyopo mbeya nitafurahi zaidi...
Satute,
Niende moja kwa moja kwenye mantiki, mke wangu ziku zake za hedhi zimetokea kuvurugika tu, hivo napata mtihani mkubwa sana kujua siku zake za hatari.
Ziku zake za hedhi kwa miezi ya...
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.
Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.
Kutema mate ovyo ni...
HIV 2020
Gazing into the crystal ball at the epidemic’s future reveals many exciting advancements. Lower infection rates is just the beginning.
June 26, 2017 • By Benjamin Ryan
In the eyes...
FEATURE STORY
Germany—ending AIDS by 2020
12 MAY 2017
Sitting in his Mini Cooper, sporting traditional Bavarian lederhosen and a smart black waistcoat, Maik is a picture of health. It is hard to...
Habari wanabodi;
Hivi hili gonjwa hatari zaidi lipo au it is just a myth? Kinachonifanya nidhani hivyo ni kwanini mtu haumwi ile serious kabisa mpaka akishaenda kupima huo ugonjwa?
Nimekutana...
VIDONGE VYA NGUVU ZA KIUME VIAGRA VYAUA WATU 86 NCHINI UINGEREZA
Stori: Mwandishi, Wetu Wikienda
Dar es Salaam: Wamekwisha! Imebainika kuwa watu wanaotumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume...
Wana JF naombeni msaada km mtu anauelewa wa hili jambo.mtoto wangu anaonekana kupungukiwa damu mara kwa mara.kuna dawa walinipatia nikawa nampa lkn haijamsaidia.nimetumia kumpatia matunda na juice...
Hakuna atakaye kataa kuwa kulala ni kitu kinachopendwa na watu wengi. Hata kama ukikataa haitaondoa ukweli kuwa unatakiwa kulala baadae. Hata hivyo unajua kwamba kama hautalala zaidi ya masaa 72...