Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo...
13 Reactions
19 Replies
5K Views
Kuna mtu wadau anaomba ushauri maziwa ya mpenzi wake yamekuwa yameteepeta(sijui kama hiki ni kiswahili kizuri) anataka yawe magumu magumu sasa yeye katika pita pita akakutana na hii njia ya...
1 Reactions
45 Replies
45K Views
Madaktari na wataalamu wa afya karibuni kwenye uzi huu, Nimekuwa nikipata shauku na kutokuelewa kuhisu hiki kitu,ni kweli inawezekana mwanamke akapata mimba baada ya siku ya urutubishaji,,na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani naomba msaada,wife wangu amekuwa na tatizo la mimba kuaribika, zisha aribika mimba mbili, sasa ana ujauzito mwingine wa miezi mitano, juzi ghafla kaaza kuona period japo damu sio nyingi...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una...
3 Reactions
6 Replies
22K Views
Salaamu wana JF wote. Jamani naombeni mnifahamishe... kwa hapa Dar, ni sehemu gani kuna maabara ya kuaminika for health check up. Namaanisha kufanya vipimo mbali mbali vya kimaabara... mfano...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mwanangu ana umri wa miezi 13 sasa lakini tatizo lake hataki kula chochote isipokuwa anataka kunyonya tu kwa mama, sasa nifanyeje huyu dogo apate kula walau kidogo?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wakina dada wa Jf. Hebu naombeni uzoefu wenu,hivi inachukua muda gani damu kuacha kutoka kwa msichana aliyevunjwa bikira? Msaada tafadhali!
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Habari zenu wanajukwaa nimekua na tatizo la kuona mbali kwa muda mrefu sana,tatizo lililopelekea nitumie miwani ya macho kama kisaidizi cha kuniwezesha kuona vizuri. Nalichukia hili tatizo maana...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar zenu wapendwa. Mimi ni mwanafunzi wa md. Naomba msaada wenu kwa yeyote yule anaefaham duka au mtaa ambpo naweza kupata icho ktabu kwa hapa dar. Karibun
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu kwanza niwashukuru kwa kazi kubwa mnayofanya kusaidia wenye uhitaji kwa kuwapa ushauri wa kitabibu shida yangu kwa leo ni kwamba nina mdogo wangu anasumbuliwa na tatizo ambalo kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello doctors Nitakua na tatizo gani me coz nowdays nakula chakula but sishibi yani nimejikuta mda wote nakulakula tu then nikikaa kidogo njaa,shida itakua ni nn?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi takriban wiki ya pili sasa nimetumia pain killers za kutosha ila napata nafuu ya muda mfupi tu tatizo linarud Ni upande wa kulia chini ya mbavu had karb na...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja... Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa...
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Habari. Mimi huwa nafanya jogging ambapo huwa natumia saa moja au mawili. Huwa ninaumwa na kichwa baada ya mazoezi (siyo mara tu nimalizapo), nikiwa nimepumzika. Tatizo ni nini, na je itaniletea...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Salaam wana jukwaa Naombeni msaada sana juu ya hili tatizo langu Nimekua na tatizo la kusumbuliwa na uchafu kwenye mkojo wenyewe wanaita UTI Ni muda sasa linapungua linaongezeka tena natumia...
0 Reactions
12 Replies
33K Views
Nikiwa Mtanzania mwenye mawazo chanya niliye oanisha mapungufu ya kinga ya kondom dhidi ya virusi vya ukimwi,leo hii natoa maoni yangu juu ya uzuiaji wa usambaaji wa virusi vya ukimwi. Ikiwa...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…