Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salam zenu zimenifikia na zangu zije kwenu wote wanajamii. Kuna vitu vitatu nimevisikia muda sana ila ufafanuzi wa kina ama wa wastani sijaupata. 1. Kutojitia/kutotumia sabuni sehemu za siri za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kutumia ama kupanga uzazi, je kati ya njia za uzazi wa mpango ipi ni nzuri isiyokuwa na complications nyingi Je, faida na hasara zake ni zipi? Asanteni, mnapojiandaa kunishauri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu hapa ubaoni. Leo kwa hisani yenu naomba wataalamu wa masuala ya afya au yeyote mwenye kufahamu masuala haya, anijuze kuhusu vyuma kwenye moyo wa binadamu na puto tumboni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu wa hili jukwaa, naombeni msaada wa namba za simu za Dr. Isaack Ndodi kwa maana ninahitaji huduma zake za kitabibu. Natanguliza shukrani zangu zangu za dhati kwa yeyote...
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Wana body habari natumaini mu wazima wa afya, Naomba nianze na hoja mimi kuna jambo kuhusu UKIMWI linanitatiza sana. Kuna siku nilienda kwa Dr mmoja kwenye hospitali moja hivi ya wilaya kupima...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Here’s why going sock-less makes your feet stink As much as you may think your feet are clean, that won’t be the case if you stop wearing socks. Your feet can produce 500 ml of sweat every day. To...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Body clocks cause wounds such as cuts and burns sustained during the day to heal around 60 percent faster than those sustained at night, scientists have discovered in a finding that has...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu Kichwa chajieleza, napata kigugumizi katika kuhesabu miezi ya ujauzito, je tunahesabu tu miezi mf Oktoba, Novemba na Desemba=3 au tunaanzia siku ile alitarajia hedhi kutoka lakini...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari wakuu, Rafiki yangu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaingia kuoga asubuhi kaanguka kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia. Je kuna tatizo ama shida yoyote? Usiku mwema.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna rafiki alinambia kun mambo 5 ambayo humfanya Mtoto kulia... Yeye alinijuza mawili tu 1: Kufungua mapafu ili Kupitisha hewa 2: Huona mabaya yafanywayo duniani. Je, sababu zingine zipi?
2 Reactions
56 Replies
18K Views
Wadau nilikuwa nauliza kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa Nini tatizo!!
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Jana mimi na mke wangu tulienda kumuona Gynacologist, tukaambiwa kuwa mtoto wetu ana uzito ambao alitakiwa awe nao wiki mbele zijazo. Na kwamba kichwa chake kinakuwa pia lakini wamesema hakina...
0 Reactions
19 Replies
15K Views
Habari wakuu Je inawezeka mtu akafanyiwa/akafanya handjob/footjob na mwathirika wa HIV/AIDS na asipate maambukizi? NB:nimegoogle wazungu wanasema NO,Je sisi waafrika tunasemaje?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habri wana Jf, naombeni msaada wa kujua clinic nzuri kwa mama mjamzito. Sijaanza clinic bado, nataka clinic ambayo inakua kama vile ya private doctor yaani nakua naenda kwa apointment...sitaki...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu nna tatizo kwenye koo langu, yaani kila napopumua ile kutoa hewa nje na kurudisha ndani kunakuwa na sauti flani ya mkwaruzo Ni tatizo ambalo lina mwezi wa 5 sasa na nishaenda hospitali mara...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Salaam Jf., Naomba msaada wa mwenye kujua tatizo la midomo kuungua kwa ndani haswa sehemu ya juu. Ni wiki ya Pili sasa naona midomo yangu imeungua kwa ndani haswa sehemu ya juu na kuna kama michubuko.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari ya sahivi! kuna mtoto wa jirani yangu kanasoma chekechea shida ya huyu mtoto ni kujikojolea yani akiwa amekaa tu mkojo unatoka wenyewe inafika kipindi hadi walimu wanampigia simu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nimeleta mrejesho, miezi mitatu iliyopita niliomba ushauri kuwa sishiki mimba sababu ya sindano za uzazi nilizotumia. Asante kwa walionishauri, lakini nashukuru Mungu sasa ni mjamzito nilitumia...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini humu, Nadhani lengo la jukwa hili ni kuwapa nafasi wale wenye matatizo ya kiafya kupata suluhisho la matatizo yao, lakini muda mrefu nimekuwa nafuatilia humu, mtu anaweza kuleta tatizo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Jf., Naomba msaada wa mwenye kujua tatizo la midomo kuungua kwa ndani haswa sehemu ya juu. Ni wiki ya Pili sasa naona midomo yangu imeungua kwa ndani haswa sehemu ya juu na kuna kama michubuko.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…