Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

JE, WAJUA? Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo. Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi. Massage huondoa maumivu ya mgongo. Massage huondoa msongo wa mawazo. Massage huboresha mzunguko...
1 Reactions
1 Replies
905 Views
JE, WAJUA? Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo. Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi. Massage huondoa maumivu ya mgongo. Massage huondoa msongo wa mawazo. Massage huboresha mzunguko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua side effects za madawa ya kupunguza unene..
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba kufahamu faida ya kunywa maji ya ndimu
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Madhara ya mwanamke kupanua sana miguu wakati wa tendo la ndoa ni nini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari jana ilikuwa siku ya pili nasumbuliwa gas tumboni nashindwa kulala usiku nikikaa kitandani haliumi nikilala tu linaanza. Nilishawahi kusumbuliwa na ili tatizo but...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nijuavyo pethidine ni dawa ya maumivu ya daraja la opioid ambayo mara nyingi hutumika theatre wakati Mgonjwa akifanyiwa operation na baadae hutumika kwa Mgonjwa huyo huyo ndani ya masaa 24...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu, Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara naombeni...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari za muda huu wapendwa,naomba mnisaidie kujua dawa za pumu kwa mtoto anamiaka7.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam kwenu wadau naomba kujua wapi naweza pata hiyo tiba tumsaidie mtoto mpendwa wa jamaa yangu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hili Igizo Busu - The Kiss Limetengenezwa kuhamasisha wanaume kutahiriwa ni muhimu kunakuepusha na Ukimwi na magojwa mengi yanayosababishwa na kujamiiana, Mie nilitahiriwa nikiwa mdogo sana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu ugonjwa umetokea takriban miezi 7 sasa unamsumbua mtoto wangu, nimefika kwa mtaalam wa magonjwa haya pale kwa Dr kairuki na akamtazama bila vipimo akasema ni Virus ambao walichangiwa na...
0 Reactions
39 Replies
17K Views
Mimi huwa nikiumia sana basi nyama inakua pare nilipoumia yaan hii hali yanitesa sana inaniaribia mwonekano WA mwili wangu kitalamu hivi vinyama wana viita kiloidi sasa nifanyeje maana nilitakaga...
1 Reactions
3 Replies
875 Views
Nimekuwa nikitazama kwenye makala mbalimbali ya kuwa tunda hili limekuwa msaada MKUBWA sana kwa uongezaji wa nguvu za kiume. Je ni kwel ndivyo ama ni propagandy tu 'na kama ni kweli huwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
A Tanzanian from southern Sahara (Yes you got it right, it is in Africa) to write and/or to speak English fluently sometimes scare the hell out of me. so pardon for my English. seeing clots of...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
MAKOSA YANAYOFANYWA NA MADAKTARI KWA WAGONJWA Na JOACHIM MABULA, UNAPOKUWA mgonjwa na kupelekwa hospitali, unakuwa na amani kwa kuwa uko katika mikono salama. Hudhani kwamba daktari au muuguzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya kazi naomba kuhuliza swali? Nina mke wangu nilie zaa nae mtoto mmoja baada ya kuzaa tulienda kupandikiza kijiti lakin baada ya muda tukaona tunahitaji mtoto wa pili lakini...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwema jamani,naombeni ushauri Nina binti yangu ana miaka 5 sasa!tangu amezaliwa uzito wake kweli hauongezeki kabisa !yaani ni mwembamba sana!yaani mikono na miguu ni imenyooka tu,baada ya Miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito...
6 Reactions
112 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…