Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina shida sana na hormone hii: Human chorionic gonadotropin (hCG) au Gonadotropin- releasing hormone (GnRH). Nahitaji mojawapo. Naomba kujua nitapata wapi na zinauzwa kwa jina gani kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kisukari ni ugonjwa ambao unatishia maisha ya watu wengi duniani na Tanzania.Kwa bahati mbaya tumefundishwa kwamba mtu akishapata Kisukari ni death sentence. Madaktari uchwara wanasema it is...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Greatings my fellow members! Naomba kuuliza,is it possible for someone to be a vineral diseases carrier? Is it possible to cure the disease? Which prescription is best for these diseases? I am...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji. Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na unyevunyevu.Mmea huu hukua kufikia urefu wa futi mbili hadi nne...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
SOMO LA 23 AFYA YA MENO clion odhiambo , contacts : odhiamboclion@gmail.com : BE BLESSED Utangulizi MENO YALIYOOZA YANATIBIKA. Meno kuoza ni ugonjwa ambao umeathiri rika zote kwa sasa, si...
2 Reactions
15 Replies
12K Views
"Scrotal massaging increases sperm count and sperm reabsorption" Ukifanya massaji ya korodani kunaongeza sperm count kwa kupunguza congention katika vimirija ambako sperm zinatengenezwa, hii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ugonjwa wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huu. Maambukizi ya ugonjwa wa HIV/AIDS hufahamika kama maambukizi ya...
9 Reactions
59 Replies
137K Views
Habari wana JF. ninaomba yeyote anayejua daktari wa mifupa anifahamishe tafadhali miguu ndio inasumbua, au hospitali ambayo nitapata matibabu mazuri. Kuna daktari nimeelekezwa pale Muhimbili ila...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
22 Septemba 2017 Mshirikishe mwenzako Majaribio ya kinga kinga hiyo ya mwili kwa binadamu yataanza kufanyika mwaka 2018 kuangalia kama dawa hiyo inaweza kuzuwia ama kutibu maambukiziya HIV...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui ni kwanini Madaktari wanapenda sana kusema kuwa Mgonjwa fulani yupo Critical but Stable lakini baadae ukija kuchunguza zaidi utakuta tayari huyo Mgonjwa ameshaonyesha dalili zote za Kukata...
3 Reactions
104 Replies
7K Views
Mimi niliwahi kuugua tb ya mapafu, nikaja kugundulika ,nnayo nikiwa hoi, maana mwanzoni nilidhani ninamarelia. Asikwambie mtu ,huu ugonjwa ni hatari. Nilikonda kama MTU mwenye HIV, Hata kutembea...
2 Reactions
4 Replies
841 Views
Wakuu habari zenu mke wangu anasumbuliwa na vichomi na anaujauzito wa miezi 7 je hili tatizo dawa yake ni nini ?
0 Reactions
2 Replies
19K Views
Hakikisha UNAFUATA SHERIA KUU SABA ZA UOASHAJI WA MATUNDA KULINGANA NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA 1. Osha mikono yako kwa sekunde 20 kwa maji ya uvugu vugu na sabuni kabla ya kuandaa tunda lako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Habarini za asubuhi, Jana wakati nipo mazoezini nilipigwa mpira uliokuja kwa nguvu kichwani mpaka nikajisikia kizunguzungu lakini baada ya sekunde chache nikaendelea na game mpaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama nilivyojieleza hapo juu kuna dada yangu mmoja ana hilo tatizo na hilo limeanza baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kabla alikuwa yupo sawa sawa na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Za leo ndugu zangu. Mwanangu alikuwa anasumbuliwa na jino ambalo ni gego, jino ili halimuumi mara kwa mara anaweza kukaa mwezi au miezi 2 halimuumi then linakuja kumuuma. Cha kushangaza wiki...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Wengi hudhani picha na video za ngono[emoji15] hazina madhara lakini hapana Epuka hizi zitaharibu ndoa yako baadae hasa kama unampango wa kuja kuoa au kuolewa!! Click hapo ujue namna ambazo...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba. Nilienda Hospitali nikaambiwa niko vizuri, naombeni...
1 Reactions
167 Replies
70K Views
Wengi hudhani picha na video za ngono[emoji15] hazina madhara lakini hapana Epuka hizi zitaharibu ndoa yako baadae hasa kama unampango wa kuja kuoa au kuolewa!! Click hapo ujue namna ambazo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kama kichwa/Mada inavyo jieleza hapo juu.. Yuko ndugu (dada) yangu anasumbuliwa na tatizo la Tumbo pamoja na Miguu kuvimba, kwa zaidi ya miaka mitatu sasa (hii ilikuwa ni baada ya kujifungua)...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…