Habari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo...
Wakuu wazima?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili hasa sehemu za mapaja, tumbo, mgongo na mikononi. Nikipakuna panakuwa kama nimetembelewa na mdudu.
Nilienda hosp wakasema allergy...
Hali zenu jf doctor naomba mnisaidie dawa ya mafua na kifua spitali nimeenda nimepewa satrin na amplicox halafu presha angu imeshuka kidogo jeee niendelee nazo hizi dawa au niache manake naona...
Kwa wale wanajamvi ambao wanaumwa au wanandugu wanao umwa masikio.Natoa tiba kwa bei nafuu na zaidi ni kwa wale watu wanaoishi maeneo ya MWANZA
Matibabu ninayoyato ni
1.Kuondoa usaha ndani ya...
Nina week sasa napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu kuhusu kwenda hosptali naogopa sana...
Wakuu habari zenu,
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza,yani huwa sitoki jasho kabisa wakuu,mfano naweza nikawa na tembea au kufanya chochote cha kutoka jasho na watu,wenzangu wote utakuta...
Mamboz wadau !!
Push up zina umuhimu gani katika maisha ya binadamu? Je mwili unaofanya push up na mwili unafanya kunyanyua vyuma utofauti wake ni nini???
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama...
Habar zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp?
Karibuni .
Ndugu zangu wanajamvi nimeona niilete maada hii humu ili niliweze kupata msaada kutoka kwenu.
Baba yangu anaumwa kibofu cha mkojo mwezi uliopita hali yake ilikuwa mbaya ikanilazimu nimtumie...
Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo lakini wengine ni uzembe
ambapo wengi utakuta...
Moja kati ya vitu ambavyo wajawazito hawaruhusiwi kabisa kuvifanya ni pamoja na kunywa pombe ya aina yoyote ile ingawa hata hivyo wapo baadhi ya wanawake huamini mvinyo ‘wine’ huwa haina madhara...
Naomba kuuliza wataalamu wa afya na mwili wa binaadamu kwa ujumla, wale mapacha wetu walochaguliwa chuo kikuu majuzi mfano akifa mmoja (siombei iwe hivyo) na inavyoonesha kila mmoja ana moyo wake...
Wataalam wa afya, naomba msaada juu ya athari za kiafya kama zipo juu ya hili.Dada zetu na mama zetu siku wapikapo wali hufunika sefuria inayopikiwa wali kwa kutumia mifuko ya plastiki na hasa...
Wasalaam wadau wa jukwaa hili muhumi.
Moja kwa moja nieleze tatizo langu ni kwamba recently nimekuwa nikikojoa mara nyingi sana kwa siku, Hapo awali mwanzo wa mwezi huu nilienda hospitali (level...