Habari wana Jamvi.
Nna Mtoto wa Kiume Umri miaka miwili na nusu 2.5 sijamfanyia tohara na niliacha kumfanyia mapema kulingana na mila na desturi za kwetu maana mie Baba ake nilifanyiwa nikiwa...
Boots pharmacy inajulikana na wengi waliowahi kuishi Uingereza kampuni hii inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wafamasia wana pokea maombi mengi kutoka India.
Wenye degree za pharmacy jaribuni...
Unaweza kuwa unapiga miayo hivi sasa wakati ukisoma taarifa hii - ni wa kuambukiza.
Sasa watafiti wamekuwa wakichunguza kinachofanyika ubongoni ili kuchochea hali hiyo.
Timu ya watafiti katika...
=> Wakati wa ujauzito, unaweza kusikia uchovu mkubwa au usingizi. Mara nyingi uchovu huu upo katika miezi mitatu ya awali.
=> Kama mjamzito, jitahidi kupumzika na kuweka miguu juu kila unapoweza...
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku tulikwenda gesti kutenda hilo jambo sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile...
Habarini wakuu na wataalamu mliopo humu...,nahitaji miwani ya macho na kusomea maana yananisumbua mno .,hivyo ni wap nitapata miwani na yenye frame nzuri pia
Nipo Arusha
Habari za Jumapili wadau
Kwanza kabisa niombe kwa anaemfahamu hospitali nzuri ambayo naweza pata dakatri mzuri wa tezi ya shingoni kwa apa dar es salaam
Nina ndugu yangu ameonekana anadalili za...
Naombeni mnitajie dawa za kuongeza nguvu za kiume za dukan au za asili namna ya kuzitumia nipo tabora naziitaji wk hii kuna manzi nimeipata nimechoka kudharauliwa na wasichana
Sent using Jamii...
Heshima kwenu wakuu poleni kwa majukumu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombe niulize.
Eti mtu aliyechomwa sindano za quinine akiwa mdogo na zikamuathiri uwezo wake wa kusikia, zinaweza...
Natanguliza Shukurani zangu kwa wote mtakaonisaidia kwa majibu yenu ya Kimatibabu ili nami niweze kumuokoa kama siyo hata kumsaidia Mgonjwa wangu.
Nina Bibi yangu anasumbuliwa mno na tatizo la...
Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mida wadau,
Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure.
Kwa kuwa...
Nimejaribu kucheki sana internet, nimegundua kitu inaitwa candida ni aina ya fungus fulani hivi. Nimepaa ni kwanini ugonjwa uo unawapata watu.
Japo mara nyingi unakuta mtu anautando mweupe...
Je unasumbiliwa na upele(acne)??
Upele hasa sehemu za uso huharibu mwenekao wa mtu hivyo wengi wanaweza tumia dawa au mafuta kuondoa viupele..
Sasa Leo nmekuletea somo kuhusu upele...
habari za hapa wanajukwaa wenzangu samahani ningependa kujua kama kuna madhara yoyote yatakayompata mwanaume endapo atajichelewesha kumwaga wazungu kwa makusudi wakati wa tendo la ndoa nauliza...
Unaelewa nini kuhusu kiungulia ambacho kwa kitaalamu huitwa Heartburn..!!??
Bonyeza link hapo juu ujifunze kitu kipya kuhusu kiungulia(heartburn).
√Sababu
√Dalili
√ Tiba kwa...
Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangallah
BAADA ya hivi karibuni dawa mpya ya kupambana na Virusi Vya UKimwi kugundulika na kuanza kutumika nchini Kenya, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
Wakuu heshima kwenu. Hivi karibuni nimesikia watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi singasinga Harbinder Sethi na Manji Yusuf kuwa ni wagonjwa na wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na...