Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

A baby boy who looks like an 80-year-old man actually has a rare condition known as progeria,which causes him to age quickly and affects just one in four million people. This baby Born in...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
MAMILIONI ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) ulimwenguni, sasa wanaweza kupata tumaini jipya baada ya wanasaynsi wa nchini Isreali kugundua dawa ambayo inasemekana kuwa na uwezo mkubwa...
22 Reactions
311 Replies
81K Views
Serikali yetu kushirikiana na Wizara ya Afya wakiwa na mkakati wa kupunguza/kudhibiti/kuzuia Kabisa vifo vya mama wajawazito sio mbaya tukiangalia dalili za hatari kwa mama wajawazito. Hizi ni...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
Naomba ufafanuzi wa kitaalam" vipimo vya ukimwi vinasemaje kwa mtu mwenye blood group O"? Kuna dada mwenye blood group O kazalishwa na mwathirika lakini kila wakienda kupima yeye na mtoto hawana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina tumaini wote mko salama. Naomba niulize yeyote mwenye ujuzi na hili jambo anisaidie. Takribani miaka miwili iliyopita,wife amekuwa na kitu kimevimba,ukimuona utahisi mjamzito,alienda...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habar wanajamii samahani naomba kuuliza kama mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja ama miwili akinywa dawa ya tumbo ya flagil itasababisha kuharibu hiyo mimba? nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
111K Views
Habari kama kichwa cha habari kilivyo. Nina mtoto wangu mtundu kweli katika kucheza cheza huko wenzake wamemleta akiwa analia wanadai ameanguka na damu zinamtoka mdomoni kumuangalia meno yameshuka...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Habari wakuu.NImekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujaa mate mdomoni,hali hii inanitisha make inafikia hatua nikiwa nazungumza inanibidi nitulie kwa muda ili nimeze hayo mate kwanza.Si mzungumzaji...
2 Reactions
4 Replies
15K Views
Wakuu habari za mihangaiko Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu. Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu...
7 Reactions
130 Replies
38K Views
Ni vitu gani hasa vinasababisha mimba kuharibika?mchango wako ni muhimu katika hili
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sitaelezea zaidi hapo wadau mwenye jibu naomba majibu ili niongeze madini kichwani.....
0 Reactions
45 Replies
18K Views
Nauliza kwa sababu hakuna hata mmoja wetu mwenye utaalamu wa kupima mkojo na kujua kilichomo. Hivyo, matokeo ya mtaalamu wa mkojo ndiyo ya mwisho. Sasa kama hujui jambo linapimwaje basi maana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waungwana. Tofauti na tatizo la kudaiwa hizo B87 mwenzenu nina tatizo la kupata mba kila sehemu yenye nywere kichwani baada ya kuoga maji yenye chumvi Kwa Muda mrefu. Tafadhali naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujuzwa,hivi mimba yaweza gundulika ikiwa na mda wa siku ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu Sasa...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu habari,napenda na nitashukuru sana kujua madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto (Pediatrician) wazuri waliopo hapo jijini ili niweze pata huduma zao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Habari wana jf. Ngoja niende direct kwenye mada kwamba nini sababisho kwa huyu mwenza wangu ana mtoto wa pili saizi lakini tu kiwa kwenye mgegedo namuandaa vizuri kabisa nahakikisha papuchi ina...
0 Reactions
5 Replies
891 Views
Habari ndugu wadau?, niende kwenye mada: Nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Mazoezi kwa mjamzito yanasaidia kuimarisha misuli na kusaidia mfuko wa kuhifadhi mkojo, mji wa mimba na tumbo. Kwa kuimarisha misuli ya maeneo haya wakati wa ujauzito, unaweza kujenga uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
18K Views
Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula. Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa ni chakula chenye tiba ndani...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…