Dawa hii ni nzuri sana kwa wasioshika ujauzito kwa sababu mbalimbali kama kutokubalance kwa hormone na matatizo mengine....
Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka.
Dawa...
Wana JF naomba msaada wenu kuhusiana na matumizi ya Kitunguu swaumu (garlic).
Nafahamu kitunguu swaumu kinamanufaa mengi sana mwilini na kuna ushaidi(medical evidence)kwamba matumizi ja kitunguu...
Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki...
*FAIDA ZA MASSAGE*
Massage husaidia kuondoa msongo wa mawazo.
Massage huondoa uchovu wa mwili na akili.
Massage huweka sawa mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.
Massage huzuia kiharusi kwa urahisi...
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita ifanya mapenzi na mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli...
Hodi wanajamvi
Naombeni msaada wenu mwenzenu nasumbuliwa na aleji ya Samaki kwa kifupi siwezi kula samaki hata harufu yake hunifanya nijisikie kichefu chefu
CHANZO CHA TATIZO
Tatizo hili...
Habari zenu wakuu
Nimekua na mambo yananisumbua zaidi ya mwaka sasa, na nimeweza kuwa mnafki na kuyaweka moyoni tu bila kuongea kwa watu mambo hayo.<br>
Kutokana na mambo mengimengi nilijikuta...
Kwanza niombe samahani kwa yeyote atakayekwazika na yalioandikwa au yatakayoandikwa kuhusiana na thread hii.
Nimekuwa nikisikia lawama zikitolewa kwa msimamizi wa mgonjwa pindi mgonjwa...
Hello doctor and wanajamii forum natumaini mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila...
Wakuu kuna ndugu yangu amepata tatizo la kuvimba sehemu mbali mbali za viungo vya mwili. Baadhi ya vidole, magotini na cha ajabu uvimbe unahama mara Kwa mara.
Akivimba goti la kulia, anavimba na...
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.
Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya...
Habar saa Hz wanajamii forum. Mm nikijana mwenyewe miaka 27 nmekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu na mikono kupata moto kwa mdaa mrefu sasa nmeenda hospital nikapewa vdoge vinaitwa neuron...
Wana jamii wenzangu, za kazi.
Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.
Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi...
FAIDA ZA TANGO
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover...