Wasalaam bandungu
Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania)
kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho...
pole sana wa jamii forum na hongera sana kwa mheshimiwa lema kupita rufaa yake. Kwa kifupi ni mdogo wangu yapata sasa wiki 3 alikuwa amelazwa hospital moja ya wilaya lakini kama wiki 1 iliyopita...
Waslaamu wadau wa afya,
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa beers kwa muda sasa, lakini siku za karibuni nikinywa beers nyingi jioni ya leo basi kesho yake ahsubuhi huamka na hangover na wakati mwingine...
COPIED AND PASTED [emoji116]
DAWA KUMI AMBAZO MAMA MJAMZITO HATAKIWI KUZITUMIA KABISA:
Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda
sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya
dawa hizo...
Je unatoa ute mwingi ukeni na kupata maumivu ukeni wakati unatembea au wakati mwingine wakati ukiwa unafanya mapenzi?
Kama unajisikia hari hiyo na umeshaenda kwa madactar mbalimbali, na...
Habarin wanajamvi;
Moja kwa moja niende kwenye suala la msingi. Nipo kwenye mahusiano na dada mmoja yapata sasa miezi minane, kuna tatizo la kutokwa na fluid za njano sehemu za siri baada ya...
Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Habari wakuu
Nipo hapa kueleza shida yangu. Mda mfupi uliopita ngoma ya sikio langu la kushoto "eardrum" nimeisikia ikitikisika/ikidunda dunda kwa sauti kubwa, hii yote ni nini?
Naomba...
Naomba ushauri wanajukwaa, Mikono yangu usiku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani ? Nimepima damu na mkojo nipo ok
Natanguliza shukrani
1)Kwa Kumuangalia Kwa macho dalili gani unaeza mtambua mwanamke mweupe asiye na upele mahala anaeishi na v.v.u.? 2)kupatwa mafua 1week baada ya maambukiz ya vvu ni 89% Kwa kila MTU je, mafua...