Habari zenu wanajf,napenda kujua hospitali ama zahanati ambayo ni nzuri kwa ajili ya kutahiri watoto kwa hapa dar,na pia ningependa kujua na gharama zao za kutahiri,natumahi mtanisaidia kwa hilo
Habari ndugu zanguni,
Kwa mlio wazoefu wa kukaa sehemu zenye baridi Naomb nifahamishe, njia mlizo au mnazotumia ili kuzoea na kukabiliana na hali ya hewa ya baridi katika mwili..
Maana kuna...
Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu. Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa...
Ndg madaktari, mke wangu anapata hedhi isiyoeleweka. Mathalani aliingia mp tar 1 may na akaja kuingia tena tar 11 june takriban siku 40 hizo, au wakati mwingine siku 30, 35 zaid au chini ya hapo...
Habar jf
Naitaji kujua tofauti ya mwanamke mrefu na mwanamke mfupi kwenye kushika mimba...
Kumekua na tetesi eti mwanamke mfupi hushika mimba kwa haraka zaidi coz kizazi chake kipo karibu...
Hello everybody!
My friend is known HIV positive and was recently diagnosed during insurance check up. He (my friend) got pricked from a rose thorn and bled.
Now I also got pricked from the...
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio...
Salam wajuvi.
Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini?
Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo...
Kwanza napenda sana kuwashukuru wote ambao huwa mnanitia moyo katika safari yangu ya kupunguza uzito. Katika shauri nilizopata kuna mdau alikuja PM akaniambia nichemshe giligilani ninywe kila...
Si mwanaume au mwanamke mara pua zikipitisha hewa yenye perfume (harufu) mbaya wengi hutema mate. Kwa wajawazito huhusiana na ishu za hormone, je kwa wengine ambao sio waja wazito hua mnatema mate...
Habari jamani,
Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!
Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake...
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile...
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Nimekaa kwenye gari na mtu ambaye nahisi ana TB na hajaanza kutumia dozi. Anakohoa kikohozi kikavu sana na kwa muda mrefu.
Huko nyuma alishawahi kuugua TB na kupona. Kikohozi nilichokiona leo...
Hello JF Doctors,
Mwenzenu nina tatizo la kupiga chafya kwa miaka isiyopungua mitano, tatizo huongezeka ninapokunywa maji mengi basi usiku hakuna kulala ni makamasi na chafya ndo mpango...