Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu Naimani hapa wengi mmenizidi umri (shikamoon) Me ni binti (24)Nina tatizo la kuumwa na viungo kama Viungo vya mikono Miguu Kiuno Mgongo Yapata miez kama miez minne sasa Lkn...
2 Reactions
35 Replies
9K Views
Katika mji wa Guangzhou nchini China, kuna kiwanda kikubwa zaidi cha mbu duniani, ambacho kinazalisha mbu wa kiume zaidi ya laki 5 hadi milioni 1 kila wiki. Mbu wote wanaozalishwa katika kiwanda...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Za muda huu jamani mtoto wangu anasumbuliwa na vijipu, mara ya kwanza lilitokea nikampaka dawa ya majani likatoweka baada ya wiki mbili limetokea tena sehemu nyingi msaada pls
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitaji kwa anae jua dawa ya ndevu siziote kwa haraka aweze kunijuza ili nipate msaada mana mm ndevu zangu zinawai kuota mno
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari wandugu mwenzenu ninakabiliwa na tatzo LA ucngiz wa ajabu kiais kwamba hata nikilala mapema ucku, asubuh nikitulia Kwa muda mfupi kabla tu ya SAA NNE ntasinzia .naomben msaada Kama kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari sana wana jamii : nilikuwa naitaji msaada Wa kujuzwa kama inawezeka ikawepo dawa ya KUWA na kipara moja moja bila kunyoa naitaji kuwa na kipara cha bila kunyoa yani kiwe forever Hiyo hiyo...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
MORNING AFTER PILL NI NINI?? Morning after pill ni aina ya uzazi wa mpango ambayo inazuia mimba pindi unapokua umefanya tendo la ndoa (sex) siku za hatari(danger days) bila kinga ,ama kinga...
1 Reactions
1 Replies
40K Views
Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Naomba kuuliza ni sababu zipi zinazosababisha masikio kutengeneza nta/uchafu mwingi ambao hupelekea masikio kuziba.. Pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Ki msingi hasira inanizidia hapa nilipo.Nashindwa kula,kulala wala kuangalia hata screen. Pamoja na kupata taarifa nzuri jana za mtoto wangu wa ujana hot kuwa kaongoza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haipiti siku utasikia Muhimbili wamefanikisha hili, mara sijui wameweza kupandikiza kitu gani sikioni, mara Moyo umewekewa betri, yote hii ni sawa lkn ingekuwa vizuri zaidi na kwa manufaa kama...
0 Reactions
5 Replies
681 Views
Ukiwa na kipara Msumbiji inabidi uwe mwangalifu sana kwani waganga wa kienyeji wanatuma watu kwa malipo kuwasaka na kuwauwa kwa imani za kishirikina na utajiri wa fasta fasta kama Albino...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nina mtoto mwwnye umri wa mwaka mmoja sasa ana matatizo ya miguu. Nimeligundua hili baada ya kufikia hatu hatua ya kutaka kusimama, ndipo nikajua hakanyagi saw a! Anatumia upande...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
IKIWA unakabiliwa na hali ya msongo wa mawazo, unashauriwa kuanza kunywa mara kwa mara maziwa, hasa yatokanayo na wanyama kwani yana uwezo mkubwa wa kupunguza tatizo hilo. Akizungumza na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtoto mchanga under 2yrs anaweza kaa siku ngap bila kujisaidia haja kubwa bila mzaz kuingia wasiwasi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katanga zinaongeza spem ?kwa mwanaumme,kwa mwanamke je.?
0 Reactions
8 Replies
927 Views
Kwamba eti...... Ukijiunguza na Pasi usiposikia ule moto au maumivu basi ni jibu tosha kuwa una Kisukari? Ukijikata ama na Kisu au Wembe kwa bahati mbaya kisha hiyo sehemu au hicho Kidonda...
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wana Jf msaada ama ushauri juu ya tatizo la bint yangu ni kachanga kana umri wa mwezi mmoja na week sasa lakini tumbo la mnyima raha kabisa analia mno alafu choo kikubwa yapata cku 3 hajapata...
1 Reactions
7 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…