Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimekaa kwa muda mrefu sana nikawaza ni njia zipi huwa zinatumika kupima ini na figo za uhakikaa maana nataka nikacheck afya yangu kwakweli maana naona dalili za ajabu ajabu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mchoro unaoonyesha mapafu ya mwanadamu yaliyoathiriwa na maradhi ya Kifua Kikuu. Picha kwa hisani ya Shutterstock. Kwa Ufupi Ni marafiki ambao hawachezi mbali na ndiyo maana siku hizi wagonjwa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wana jamvi msaada,leo asubuhi na amka macho yamevmba nakua mekundu yakiwasha na kutoa machoz'na kuna tetesi kwamba mimi sio wa kwanza hata pia jiran yetu nae wiki ilopita alikua na tatizo kama...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Samahani kwa usumbufu ninahitaji daktari wa wanaume(ororlogist maana nimeonekana na zero sperm ccount niko Arusha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Makampuni ya watu yanayotengeneza madawa na vifaa vya matibabu hayawezi kufungwa kwa sababu yako kwa sababu ni biashara pia. Makampuni hayo hayo ndiyo yanayofadhiri tafiti mbalimbali za magonjwa...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Hello wanajamvi Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
4 Reactions
77 Replies
9K Views
habari za asubuhi wadau,, wakuu Jana sijalala kabisa na Leo hii nimeamka nikiwa na maumivu makali sana ndani ya moyo Wangu,, Jana nilimpata msichana wa ku DO ,nakaanae nyumba moja sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu juzi nipo job, nimekula lunch tumbo likaanza kusumbua, nimepima nimeambiwa ni infection, nikapewa Dawa, hadi Leo sijapona.Tumbo linauma na limejaa gesi, tatizo linaweza kuwa nini. Msaada wenu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ALOE VERA ama Mshubiri ni mmea ambao una sifa ya kipekee ya nguvu ya matibabu kuliko mmea mwengine wowote duniani. Katika historia ya dunia, Aloe vera imetumika kwa manufaa mbali mbali ya...
3 Reactions
9 Replies
38K Views
Heshima zenu wakuu, nimekua nikiona watu wengi sana wakipotosha uma kua kula chipsi yai hupelekea kupungukiwa nguvu za kiume. Maranyingi watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kupotosha uma...
6 Reactions
34 Replies
7K Views
Natibu watu wenye matatizo yafuatayo kwa gharama nafuu sana. Mawe ya kwenye mfuko wa nyongo bila upasuaji. Mtu kutokwa na jasho jingi muda wote, bila sababu maalum. Matokeo ni ndani ya masaa 48...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hakika idadi ya Walemavu inazidi kuongezeka pale Feri upande wa Magogoni.Walemavu hao wamejaa milangoni Na ndani ya Lounge utawakuta wamelala kutokana Na ulemavu wao.In vema Wizara husika ya Afya...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Habari jf, Wanajukwaa wiki tatu zilizopita nilikua natoa uchafu sikioni kutumia pamba stick, sasa kwa bahati mbaya pamba ikabaki ndani ya sikio, nikaenda kituo cha afya, wakachukua mabomba ya...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf, mmekuwa msaada kwangu kwa mengi sana. Sasa leo tena unisaidie kwa hili, hivi kunenepa mikono zaidi au miguu nini kisababishi? Na nini suluhisho lake? Hasa mikono wadau...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau naomba mnijuze madhara ya pilipili ikiwa unakula kupita kiasi maana naona kama nimeincreas sana na sijajua matokeo ninini!
2 Reactions
24 Replies
20K Views
Habari zenu ndugu zangu! Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Sfhfa
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…