Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau habarini za jioni...!!! wapendwa nakuja tena mbele yenu, nina mgonjwa wangu amepatwa na tatizo la stroke na yupo hospitali kwa matibabu ila tangu alazwe sasa ana wiki moja isipokuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanaJF, nimeanzisha website ya mambo ya afya ambayo nipo wa mtaaalam wa mambo ya afya kwaajiri ya articles . Karibuni sana kwenye website hii kwa maoni zaidi. Nipo bado kwenye...
0 Reactions
2 Replies
731 Views
FAIDA ZA TANGO 1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini. 2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B. 3. Kusaidia kutunza ngozi. 4. Kuongeza maji mwilini. 5. Kukata hangover...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mara nyingi inakutokea baada ya kuugua homa mfano malaria kali, umelala kitandani siku mbili, siku ya kwanza ulishindwa kula kabisa, baada ya kutumia dawa ulitoka jasho sana, na sasa unasikia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalam wana JF ... Kila niamkapo either alfajiri au asubuhi hukuta uume ukiwa umesimama. Swali: Je pana siri gani ama mahusiano gani ya hiyo "erection" kibaiolojia, kisaikolojia au vnginevyo?
1 Reactions
41 Replies
11K Views
Naombeni mnieleweshe, Nasikia kwamba Uke hujisafisha wenyewe na kutoa uchafu wa kawaida. Je, uchafu wa kawaida una rangi gani?
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari wana jf. Nimepata ufumbuzi wa tatizo la uke kuwa mkavu sana na mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa. Fanya hivi. Kila siku asubuhi na jioni chukua kijiko kimoja cha asali...
2 Reactions
8 Replies
14K Views
Wataalamu naombeni msaada nina mama yangu hapa ametapika sana usiku huu.haumwi na chakula alichokula ndiyo tumekula familia nzima,isipokua kwake yeye imekua tofauti katapika sana. Ila pia tatizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habri jf doctor.. .naomba msaada jamn waungwana kabla sijachukua hatua ya kwenda kumwona dr..ni hiv yapata kama wiki hiv jicho la upande wa kulia pembezon kabisa kwenye hi kuta za kope huwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vipi wadau,mimi ni mwenyeji wa arusha mjini, naomba mwenye kufaham hospitali ya private hapa arusha ambapo ntaweza kufanya full body check up...na gharama pia kama utakuwa na idea... Sababu ni...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Darasa la leo tarehe 25/03/2016 kama kawaida linawahusu hasa hasa wale wajawazito na wanaotaraijia kua wajawazito MADA NI:FAIDA NA HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA WAKATI WA UJAUZITO WAKATI GANI...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Nguvu kubwa ya kichinichini inatumika kutangaza dawa za makampuni mbalimbali yanayouza dawa za tiba mbadala kwa bei ya juu sana zisizo na maelezo ya kina kutoka serikalini kuhusu ubora na uhalali...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani ikishatungwa mimba ya bin Adam au mnyama,nani huamrisha :- sasa vidole ,ubongo mifupa utumbo,macho masikio nk nk..... Vianze kujipanga? Ni "operating system" gani hutumika?hasswa kupachika...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari Jf Doctors. Mwanzoni mwa jumatatu ya wiki hii nilihis maumivu ya tumbo (bila kunguruma) ila lilikuwa linauma kiasi cha kushindwa kuendelea na kazi, nikachemsha maji nikanywa pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Aisee wana jamvi kuna hili tatizo la ndugu yangu yeye miguu inamuwasha hasa kwa upande wa nyuma ya miguu mpaka unyayoni na kakijikuna panakuwa kama panawaka moto. Najua humu kuna madocto na watu...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Tafiti Mpya: Mwili wa Binadamu hauhitaji wanga kabisa - (0%) HII Ni Tafiti Mpya: Mwili wa Binadamu hauhitaji Vyakula vya aina Ya Wanga kabisaI HABARI NJEMA KWA WASIOPENDA UNENE NA WANAOTAKA...
3 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari za asubuhi wapendwa mimi niko dar hapa ila nina mdogo wangu anasumbuliwa na moyo watu wamenishauri nimpeleke muhimbili na kwa pale sina uzoefu nianzie wapi kama kuna doctor hapa yuko...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Naomba kwa mwenye kufahamu dawa nzuri ya malaria sugu inapopatikana anielekeze na anitajie na jina la hiyo dawa mana huwa nasumbuliwa na Malaria ya mara kwa mara mpaka...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Why men undergoes deep sleep after having sexual intercourse¿
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Habari wana jamvi Kuna hili swala ambalo najua sio geni miongoni mwenu na pia nimelisikia kwa muda toka muda mrefu achilia mbali kulishuhudia. Ni kuhusu mama mjamzito anapopata tu hiyo mimba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…