Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jaman naombeni msaada ,eti kunauwezekano wakumpa mimba Mdada endapo utakutana nae sikumoja kabla ya kuona hedhi . Au siku ya tano baada ya kubleed .
0 Reactions
23 Replies
18K Views
Habari wadau, naomba kufahamu mtu anayejua tiba ya mwiba, mzazi wangu amejichoma nao leo siku ya tatu maumivu yanazidi. YOYOTE MWENYE KUFAHAMU TIBA NAOMBA MSAADA
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Sababu zinazopelekea mwanamke asione siku zake /bleed ukiachana na mimba ni zipi nyingine msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie, Kila ninapotafuna chakula haitegemei aina gani ya chakula huwa napata hisia za mchanga kwenye chakula yaani kama kuna mchanga kwenye chakula. Hili ni tatizo gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumeandaa database itakayompa mtanzania uwezo wa kuona, kuchagua na kuwasiliana na daktari anayemtaka pindi anapojisikia kufanya hivyo kwa urahisi kabisa kupitia simu yake ya mkononi. App yenyewe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Good morning jf.... Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari zenu wadau, Kuna binti mmoja mpenzi wa rafiki yangu kipenzi Jana waligegedana sana, cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama nusu saa bi dada akaanza kutapika na...
10 Reactions
170 Replies
15K Views
Habari zenu wana jamvi, ningependa kuuliza uhusiano kati ya hormonal imbalance na hairloss hivi vitu vina relate vipi? Je ni kwel hormone imbalance inasababisha hairloss(baldness)? Just want to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa, Kuna tetesi zipo sana mkoani Arusha kuwa mafuta ya kupikia aina ya Korie, na pia mboga za majani aina ya Chaines (wengine wanaziita Chinese) hupunguza nguvu za kiume, na ndio maana hata...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari . Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena. Vile vile nina kama utepe flani hivi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ebu nisaidieni jamani kunielewesha hapa,wataalamu wanasema mwanamke anapofikia MENOPAUSE anapofanya tendo la ndoa hahisi raha kabisa au anahisi raha kidogo?,wanasema wanawake wengi MENOPAUSE...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Leo ni kama mara ya tatu kuona tangazo kwenye channel mbalimbali za India zikitangaza kuwa kuna dawa ya kuongeza urefu inauzwa kwa pesa za Tanzania kama laki na ishirini. Yaani wanadai...
0 Reactions
27 Replies
27K Views
Jamani naomba kujua ntampata wapi dr. Bingwa wa magonjwa ya kina mama hapa dar es salaam na gharama zake za kumuona hadi huduma msaada wapendwa
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Mwanamke akiwa na mimba nyama ya tumbo huvutika kutokana na mzigo uliomo tumboni, anapojifungua nyama ile huchukua mda mrefu kabla ya kurudi kwenye hali yake. Je, kuna dawa ya kusaidia...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu. Ndugu zangu naomba msaada anayejua dawa za figo lenye maji na matatizo kwnye kibofu cha mkojo. Ninakojoa damu mkojo wa mwisho na maumivu makali sana. Hospital nilipewa dozi ya dawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Emotional Symptoms of Sex Addiction If you or someone you love suffers from a sex addiction, you might not have healthy boundaries. If your husband is addicted to pornor sex, you may feel...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
URAIBU WA DAWA ZA KULEVYA Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu wa nchi , Natumai mnaendeleaje vizuri na miangaiko yenu poa .Napenda kuchukua Muda wangu wa kuwajulisheni hamna Dawa ya KUPONYESHA kisukari full stop. Watu wengi sana wametapeliwa kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Chukua tahadhari dhidi ya msongo wa mawazo, na wasaidie wengine jinsi ya kujiepusha na msongo wa mawazo na hofu zinazopita kiasi zinazotokana na mitazamo hasi ambayo hata hivyo mara nyingi haina...
4 Reactions
5 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…