Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

jaman nna tatzo la tumbo kujaa gesi mwaka wa pil sasa
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Please Deception nilikutumia PM naona upo busy sana,maelezo yako kuhusu HIV yanahitaji thread maalumu ili tuweze kusoma kuelewa na kuelimisha wapendwa wetu,tafadhali anzisha trhead mpya na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, Poleni na harakati za kusaka mkate wa kila siku. Mimi ninaomba kufahamishwa vizur kuhusu hili tatizo la kitovu cha mtoto. Inasemekana eti kitovu cha mtoto mchanga kikikauka na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana jf, Mke wangu ana mtoto wa miezi mitatu 3, hii wiki ya tatu kagoma kunyonya kwa mama yake, akawa anamkamulia kwenye kikombe na kumnywesha lakini bado hataki kunywa, yaani anamnywesha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Samahanini wakuu, swali langu laweza onekana la kitoto au either lishajadiliwa sana hapa ndani. Kikubwa ningependa kujua ni umri gani ambapo mimba huweza kuonekana au kusomeka kwenye kipimo?
0 Reactions
34 Replies
20K Views
Anopheles anaaminika ndie mbu jike anaeweza sambaza vimelea vya malaria, nataka kujua je inakuaje mtu anaishi mbali na makazi ya watu/porini lakin bado atapata malaria ili hali hakuna watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa mtu yeyote mwenye maoni au ushauri kuhusu namna ya kutibu kiungulia au kitaalamu heartburn, mwanajamii naugua napia najua tuna ndugu na jamaa wanaungua na kuuguliwa. Jisikie huru...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Sarah Knapton, Science Editor 2 October 2016 • 1:13pm A British man could become the first person in the world to be cured of HIV using a new therapy designed by a team of scientists from five UK...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakubwa nawasalimia. Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 25 bado sijaoa na sitarajii kuoa kwa sasa kwa sababu binafsi. Nikifanya ngono au tendo la ndoa huwa natoa manii nyingi sana kwa mahesabu...
3 Reactions
89 Replies
24K Views
Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu wana jukwaa. Napenda kuwashukuru wana JF wote wanaotoa mawazo chanya juu ya matatizo ya Watanzania wenzao ambao kwakweli wanakuwa wanahitaji msaada. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Story: "10000 times stronger killer of CANCER than Chemo".. do share it.. can save many lives, fill up hopes and build confidence in the patients... The Sour Sop or the fruit from the graviola...
2 Reactions
17 Replies
13K Views
Habarini wakuu, Nimeingiwa na mdudu kidoleni, nifanyeje? Ushauri please
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Wanajamvi leo unaulizia kuhusu tetanus ni nini na ukiumia umapaswa kuchoma sindano hiyo baada siku ngapi au haina muda wa kuchoma baada ya kuumia
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Why talk of a cure for HIV is premature' - BBC News
1 Reactions
19 Replies
1K Views
1.WANAWAKE(WOMEN) Wazungu wanasema Fertility is Ageist..ikimaanisha umri ndo unaweza ukaadhiri Afya Ya mtoto wako kwa Wanawake wanazaliwa na mayai kamili ambayo hupungua kiasi na Quality miaka...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu Jf Drs na wengineo, Naombeni mnijuze kwa undani zaidi,ni kweli kwamba njia ya uzazi wa mpango IUD(copper) inaweza sababisha mtu kua na maumivu ya mifupa/synovits/rheumatism/back back...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Daktari wa upasuaji anayetaka kufanya upandikizaji wa kwanza wa kichwa kuwahi kufanyika anasema upasuaji huo unaweza kufanyika kuanzia mwaka ujao. Prof Sergio Canavero ameiambia BBC amepata watu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu natokwa na maji kwenye kucha za miguu alafu kucha zenyewe zinaonesha dalili za kuharibika tatizo ni nini? na nini tiba yake?
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari JF; Baba yangu mzazi mwenye umri wa miaka 81 anayeishi katika wilaya ya ludewa mkoani njombe anatatizo la mtoto wa jicho kwenye kila jicho lake na kwa sasa haoni vizuri na alipokwenda...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…