wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi
wiki hii tumbo linanisumbua
ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi?
msaada
Vyakula vinavyotibu tatizo la nguvu za kiume ni pamoja na vifuatavyo;
1. Kitunguu swaumu
Kitunguu Swaumu
Chukuwa punje 10 mpaka 15 za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha...
Leo asubuhi nilisikia hii mada ikielezewa kwa usahihi kwenye kituo kimoja, issue ya mazoezi na mfumo wa ufanyaji kazi wa via vya uzazi..
Amelia na mazoezi kwa upana wake mana aliweza kuelezea ktk...
Mara nyingi nikiwa natembea sehemu za joto huwa napata muwasho wa ajabu saana na vilevile hata nikioga nakujifuta maji basi nitawashwa balaa. Naombeni mnisaidie maana nlishawah kwenda hospitali...
Habarini zenu. Naomba kujuzwa mtu anaeumwa sana viungo hasa joints za mikono, magoti na miguu, mgongo, kiuno na kichwa, kuna shida gani hapo? ni kuchoka sana stress au tatizo jengine?
KATIKA TIBA YA LISHE (DAGAA NA FAIDA ZAKE)
Kwa imani ya watu wengi, dagaa ni kitoweo cha kimaskini, huonekana kuwa kununua dagaa sokoni au super market' kwa ajili ya kitoweo, ni dalili ya...
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba...
The Vaccine Against Diabetes Has Been Officially Announced And The Entire World Is Celebrating The News!
In the United States alone, 1.25 million people suffer from type 1 diabetes. A vaccine...
<img src="http://images.agoramedia.com/everydayhealth/gcms/cs-vaginal-health-rules-healthy-vagina-400.jpg" alt="">
4KSHARES
PIN IT
Steps You Can Take to Protect Vaginal Health
All women...
Mimi ni kijana mwenye miaka 22,ninaombeni msaada wa jinsi ya kupungua mwili wangu maana kila siku ya mungu ninaongezeka uzito na sasa nina kilo 120,ninaogopa kuwa nipo karibu kupata magonjwa pia...
Leo nilienda kuonana na daktari bingwa wa Macho pale Muhimbili.
nimeingia ndani ya chumba cha bingwa huyo nikakuta ni kijana ambaye havuki miaka 35.
nikamuuliza nimekuja kuonana na bingwa wa...
Moderator;
Kwanza naomba muongozo kama kuweka picha ya jinsia mbili inakubalika. Kama inakubalika tafadhali nijulishe niweze kuipost.
(Baada ya go ahead kutolewa):
Lengo la kuweka picha hii...
Kuna jamaa yangu flani age-40's, sex-male anapata uzito wa ulimi kwa wiki mbili sasa unaomfanya ashindwe kuongea vizuri sometimes na kuumwa kichwa mara kwa mara, akaambiwa afanye CT scan ya...
Habari ya asubuhi, nimepatwa na tatizo la kuwashwa njia ya haja kubwa hadi inafikia siwezi kutembea umbali mrefu. Nimejaribu baadhi ya dawa shida bado ipo pale pale naombeni msaada.
Mke wangu alikwamwa na kitu kama vipande vya chakula wakati akicheua... Hii ilitokea usiku alipokua akiamka kwenda kujisaidia, so anasema anahisi maumivu anapomeza maji... Nini tiba yake? Naomba...
Scientific Prove Ya uwepo wa Hii issue haipo Lakini kutokana na studies za Chromosomes na sperms its possible pia kuna watu wanasema wameshafanikiwa kuchagua Jinsia za wanao,Anyway Mzigo uko Ivii...
Tuko kwenye dunia ambayo kila kukicha kuna tafiti mpya au tunakumbushwa yale ambayo tunatakiwa kuyazingatia kila siku kwenye maisha.
Na ninafahamu watanzania wengi huchelewa kufika nyumbani na...