Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada ni vitu gani nitumie ili mfupa uunge haraka pia niliwekwa chuma baada ya kutoa wk iliyopita ile sehemu niliyotoa chuma imekakamaa sana na kuota vipele vilivyovilia maji nini...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
..
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo...
2 Reactions
56 Replies
14K Views
Fast facts on human papillomavirus Here are some key points about human papillomavirus. More detail and supporting information is in the main article. •Around 80% of sexually active men and women...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Matumizi Ya wipes yameonekana trending na modest sana kana kwamba watu wamefumbia macho side Effects zake kwa watoto wetu.Most of them are made of damaging Ingredients ambazo zina Longtime effects...
11 Reactions
81 Replies
14K Views
Naskia kuna watu wana tatizo la kupata choo, Dawa: juice ya vitunguu swaumu nusu lita Muda: Asubuhi kabla hujanywa kitu chochote ukae nusu saa ndo ule kitu kingine Matokeo: dakika kumi Nilijuaje...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam wanajamvi, Naomba nishee hii kitu cjui inanipata pekeangu au laa!! kila nikimaliza Ku do (sex) nasikia muwasho wa utamu ndani ya uume, I mean kwenye njia ya sperm huwa panawasha hadi...
1 Reactions
44 Replies
11K Views
Msaada kipimo cha damu ESD 120 ni tatizo gani
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Hivi karibuni niligundulika kuwa na Hypertention.Nimeambiwa nipunguze au kuacha matumizi ya chumvi.Ila nimesikia kuna chumvi maalum naweza kutumia!Mazoea mabaya sana ...kuacha chumvi ni changamoto!
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tatizo sugu na linalowaathiri wanaume wengi kwa sasa ni kukosa nguvu za kiume pamoja na kuwa na uume mdogo(kibamia) hivyo kushindwa kujiamini wakati wa tendo endapo tu watakuwa mechini na wanawake...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wana jamvi. Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya kulisaka tonge. Nisiwachoshe sana nikachelewa kupata msaada ninaouhitaji kw ajili ya porojo zangu. Ijumaa ya...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Wakuu habari zenu, Kumekua na hivi vituo vya tiba mbadala na ukienda wanatoa huduma ya kupima mwili mzima, Sasa nahitaji kujua kuhusu hivi vimashine(walioenda wanavijua) wanavokutumia kupima...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenyu wanaJF, Ningependa kujua kama kuna duka/maduka yanayouza virutubishi au Supplements hapa Bongo kwetu. Kuna makampuni kama Ayurveda na mengine mengi tu yanayouza Hivi Virutubishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jf.. nina tatizo la kuwa na vipele vigumu kwenye kuta za mashavu ukeni. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu. Nimekuwa nikitumia dawa bila mafanikio.. mwanzon vilikuwa...
0 Reactions
9 Replies
27K Views
Asubuhi nashindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi, nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes. Nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo, nikilijaza nashindwa kutembea. Bodaboda...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
TCU na NACTE pumzikeni kidogo mpumue Wakuu mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie 1. Mtoto anaponyonya anapata...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
MTOTO Flora William wa kijiji cha Mandi wilayani Babati, Manyara aliyezaliwa akiwa na ulemavu wa kutokuwa na sehemu ya haja kubwa, ameendelea kuteseka kwa miaka 15 sasa kutokana na wazazi wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekua natumia tiba kwa miaka sita, naendelea vizuri, naogopa kuacha lakini kadiri mda unavyopita nguvu za kiume zinaisha. Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali, nipo mkoani.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HIJAMAH/ BLOOD CUPPING/ CHUKU AU KUUMIKA: Kuna faida nyingi sana za kupiga chuku au kuondoa damu chafu mwilini. Hijama/ chuku hutibu maradhi mengi ndani ya mwili wa binadamu kama vile kuondosha...
4 Reactions
10 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…