Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dear jf members Nina maumivu ya mgongo for long time nimejaribu kutumia mazoezi ya CERAGEM lakini siponi naomba kwa anaejua zaidi yaani panavuta na nikipagandamiza panauma kama mtoki vile...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Mtoto wangu ana shida ya Ngozi...anatokewa na vipele vinamwasha sana...ngozi inakauka na kukakamaa alianzwa akiwa na wiki 2 tukafikiri ni vipele vya joto lakini vimeendelea mpaka sasa ana miezi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
5.UUME KUTOSIMAMA(ERECTILE DYSFUNCTION) Huku ni kushidwa kuMantain erection,hii inatokana na uhaba wa damu kwenye mishipa ya uume maana Ili usimame unahitaji kiasi kikubwa cha damu..hii inaweza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
NI muda gani mimba inaweza kugundulika?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swali No 1 Tafadhari naombeni msaada kwa yeyote anayejua nini chanzo cha mama mjamzito kutapika na kichefuchefu kila mara. Kama kuna dawa please nisaidieni nijue kwani nina ndugu yangu anapata...
0 Reactions
208 Replies
104K Views
Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie...
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Petroleum Jelly au Mafuta Mgando Yaligundulika Mwaka 1869 wakati drillers walikua wanachimba mafuta ndo wakakutana na hii byProduct Ya Oil,ni hydrophobic(inazuita unyevu-Unyevu) In nature ndo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wataalamu? Ni hv juzi tu kama siku nne zimepita nilipata kipimo cha upt nikaona vimistari viwili kwamba nina ujauzito baada ya kuona nimepitiliza siku zangu kama wiki hivi, sasa cha ajabu...
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Habari Kwa siku kadhaa nimekuwa napata maumivu yasiyo makali wakati wa kukojoa na ninapotoa shahawa. Nimeangalia historia yangu mara ya mwisho kusex bila kondom ilikuwa august. Msaada tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu,nina mdogo wangu ni mjamzito wa miez mitano kamili,shida iliyopo ni moja tuu anatema sana mate mpk imefikia hatua anakuwa na kopo kila mahali anapokwenda au...
0 Reactions
20 Replies
29K Views
Kwa madaktari JF, Je,mtu mwenye "white blood cells" chache mwilini na kadiri ya vipimo vya kitaalamu hana maaradhi yanayomsumbua kwa wakati huo,anapaswa afanye nini ili kuuwezesha mwili...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Wana wa Jf naumbuka mwenzenu, nina mke na wana 3. Umri wangu miaka 50. Ni msaidizi wa Meneja kampuni fulani. Nimekumbwa na tatizo uwezo wangu wa kumpa wife mchapo usiku umepungua. Nilikuwa...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Madaktari nawaombeni msaada wa ushauri na tiba katika hili,nimeotwa na maupele madogo mgongoni yakifuata uti wa mgongo, yanawasha,nikikuna yanazidi kusogea!!!!!!!nimepatwa na wasiwasi sana kwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
,Natumai mu wazima wa afya Mimi nina mke mke wangu yaan yeye toka siku alipogundulika kua ana ujauzito anatapika mfululizo non stop kwa siku ata mara sita,sometime anatapika nyogo kila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini? Wadau baada ya mchumba-angu kunasa ujauzito Dr. Amenambia tustop sex kwa miez minne. Hivi hii ni kawaida au ni chuki binafsi za Daktari?
3 Reactions
69 Replies
5K Views
[emoji35]
1 Reactions
7 Replies
678 Views
Mwenye uelewa na dawa ya minyoo, ile ambayo inatoka yenyewe.
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu wa mambo ya uzazi wanisaidie tips kuhusu dalili za uchungu wa kujifungua. Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake...
0 Reactions
20 Replies
56K Views
kwa waliofika leo pale viwanja vya mnazi mmja kupata vipimo bure watakua wameeelewa.
3 Reactions
2 Replies
760 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…