Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana Jf mimi nina mdogo wangu wa kike ambaye anatatizo la kuota vinyama kama vipele kwenye ngozi then vinakua vikubwa. Mfano aliota vinyama sehemu aliyotoboa masikio sasa vinazidi kurefuka tu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarin wana jf,naomba mwenye kujua bei ya vifaa hivi, clinical thermometer,stethoscope,glucometer,Bp machine(manual)
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu kumekuwepo maelezo mengi dhidi ya tiba ya mtoto kikojozi. Sasa naleta kwenu tiba asilia ya kuacha kukojoa kitandani ni ipi?
0 Reactions
147 Replies
63K Views
Wapendwa wana jf naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu dawa ainaya PREGABALIN nimeandikiwa dawa hizi jana kutibu maumivu ya kiuno lakini nilipo soma kikaratasi cha maelekezo nimetishika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitajitahidi kuandika ufupi kwa kwenda moja kwa moja kwenye suala ambalo kwangu linanichanganya. Nina rafiki wa kike ambaye tumefahamiana kwa takribani miaka miwili na tumekubaliana tuwe wachumba...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
756 Views
By VERAH OKEYO More by this Author THURSDAY SEPTEMBER 22 2016 One Kenyan may soon place the country as the first nation whose citizen found a vaccine and a cure for HIV. Prof Thumbi Ndung’u—...
2 Reactions
0 Replies
726 Views
Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Salamu wana JF. Hivi Chanjo ni dawa au ni kitendo? Mimi nilikuwa naaelewa kuwa ni kitendo lakini majuzi nimemsikia Waziri wa Afya akisema kuwa Serikali imeagiza Chanjo, nikatatanika. Nasubiri...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Wakuu poleni, Hivi katika sayansi ni kweli mwanamke mwenye mimba haruhusiwi kula asali nakumbuka kipindi niko mdogo kuna mama jirani yetu alikuwa ana mimba kuna siku walienda kurina asali...
3 Reactions
10 Replies
11K Views
NATUMAI MU WAZIMA. Ndugu zangu ma dokta na manesi na wote wenye uelewa wa mambo ya afya naomba mnijuze hili swali linalonitatiza kwa muda mrefu sasa. Kama habari inavyosema, wanene...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua nikisikia eti yale maji ya moto wanayokandwa wanawake wakitoka kujifungua huwa ni chanzo cha nyama za tumbo kukaa vibaya na pia huwa yanasababisha stretch mark kuonekana vibaya. Je mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema najivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema. Nilienda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf Mimi nina tatizo complicated kidogo but hope nitapata ushauri kwenu wadau tatizo langu lilianza tangu 2014 ambapo nilianza kusumbuliwa na mgongo (yaani nilikuw naskia maumivu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 10 kunywa hayo maji kalale baada ya dakika 20 utashtuka kesho saa nne mimi...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
kama swali linavyo jieleza hapo juu,kwanini mtoto mchanga anachomwa sindano kwenye paja katika muscle ya vastus lateralis na sio kwenye tako(gluteal muscles?? NB:Sitaki kuanza kuniambia niende...
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Nini athari ya mama mjamzito akikaa/ kubana mkojo mda mrefu?
1 Reactions
3 Replies
28K Views
Habarini wanajamvini Nina rafiki yangu wa kiume 24 anasumbuliwa na -maumivu makali wakati wa kukojoa -kukojoa damu -kukojoa kama usahaa Na inafika wakati anakojoa mpaka anaanguka...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Imeelezwa kuwa kutozingatia sheria za ulaji wa vyakula na matumizi ya pombe kali vimechangia ongezeko kubwa la wagonjwa wa Figo nchini jambo ambalo ni hatari kwa taifa kutokana ugonjwa huo kuwa...
3 Reactions
0 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…