Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana experience naomba msaada jamani vyakula gan vizuri mama mzazi kuongeza mtotot mi ni mchaga mkewangu kaambiwa apewe mlaso ile maziwa ya mtindi,damu ya kisusio na vinginevyo amekataa kwa...
0 Reactions
6 Replies
80K Views
Wakuu habari zenu? Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MAAMBUKIZI sugu ya njia ya mkojo (chronic urinary tract infections - UTIs) ni maambukizi kwenye njia ya mkojo ambayo hayatibiki kwa urahisi au yanajirudia mara kwa mara, Fikra Pevu inaripoti kwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Tunatafuta orodha ya madaktari na hospital pamoja na email/simu zao nchini Tanzania. Tafadhali naomba uweke jina/email/simu ya hospital au daktari unayemfahamu nchini Tanzania. Tumepata taarifa...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Ivi ni kweli katika utoaji wa mikopo chuo, wanafunzi waliosoma PRIVATE form 5 & 6 hawapewi priyority kubwa ukilinganisha na waliosoma government school..?? Nahitaji kulifahamu jambo hili.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomben kujua jee kuna uwezekano wa kuzuia ndevu na kama upo no njia au dawa gan zitaweza kuzuia ndevu..msaaada wa mawazo tafadhali?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu jamii Dr, Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa mtu anaejua ama kufaamu juu ya ugonjwa unaoitwa TRAOMA. Naomba anifaamishe au anijuze. Tena ikiwezekana aniPM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZAZI wengi wanatamani kuwa na watoto wenye afya nzuri kimwili na akili. Ili mtoto aweze kukua vizuri kiafya ana mahitaji mbalimbali kutia ndani lishe na mapumziko ya kutosha. Mahitaji ya Mtoto...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Chunusi sugu dawa nafuu msaada pls
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Innovative medics Dr Francis and his team at Muhimbili National Hospital in Dar es Salaam. Dar es Salaam. A few months after he was born, Abdul Mfaume suffered severe malnutrition and diarrhoea...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana, Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nnatatizo la kuumwa na tumbo na kuunguruma nmetumia dawa za minyoo but cjafanikiwa kutoa tatizo je tatizo n nn?????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama title inavyosema, nina mpenzi wangu tulishiriki tendo mwezi wa tano mwishoni baada ya siku 3 akaingia period, leo ananiambia hajaingia period amepima pregnancy test imeonesha ana mimba...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wana jf naomba kujuzwa juu ya hili. mimi huwa nikikaa mahali penye UPEPO, Au BARIDI likinipiga huwa tumbo linajaa gesi na kila kitu tumboni kinavurugika hadi nikienda chooni huwa naharisha. Huu ni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake... "Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi...
0 Reactions
32 Replies
32K Views
TATIZO LA MAGONJWA SUGU NA JINSI YA KUZUIA USUGU IMEANDIKWA NA: S&E HEALTH SOLUTIONS WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, UREMBO NA VIPODOZI UTANGULIZI...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu natumaini mpo salama nyote. Naandika Uzi huu kuomba nsaada! Nina babu yangu ana umri wa miaka 79 ana tatizo la miguu linalomsumbua. Miguu inavimba juu ya unyayo na kuwa mieusi na baada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…