Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau mambo vipi? Nilikua naitaji kujua mambo flani kuhusu ukimwi... Nitafurahi kama mtanisaidia kwa mawazo. Maswali yangu ni kama yafuatavyo: 1) je mwanamke anae itaji kufunga uzazi kwa njia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyakula vya kula kila siku ili kuithibiti presha ya kupanda Vyakula vya kula kila siku ili kuithibiti presha ya kupanda
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari! kuna ndugu yangu kababuka mdomo. Pia una maumivi. Yaani umekua mwekundu! kama kavuta bangi lakini hajawahi tumia! labda ni lipbam tu hiz za kawaida. Je kuna tiba ya huu ugonjwa kwa...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
NAWAULIZA SWALI KATI YA ASALI NA SUKARI UTATUMIA IPI KUWEKA NDANI YA CHAI KAMA NI DAWA? Honey vs. Sugar: What's Best for Your Herbal Teas? Herbal teas are great for so many different ailments...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
JF Members Ntapata wapi maziwa ya soya, kwa ajili ya watoto? Rgds Kizi57
0 Reactions
12 Replies
8K Views
UTUMIAJI WA FACE WASH AU FACIAL CLEANSERS HUPENDEZESHA ZAIDI USO WAKO U hali gani rafiki yetu na mpenzi wa mambo ya vipodozi na muonekano wa mwili? Karibu katika somo la leo linalohusiana na...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wasalaam wakuu, Hope mpo salama wote na bukheri wa afya zenu japo leo nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu mahusiano yaliyopo kati ya mafua na unywaji wa vitu vya baridi maana hapa nilipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Utafiti imeonyesha kuwa kwa mwanamke umbile la k, umbali kati ya clitoris (kisimi) na urinary tract(sehemu ya kujojoa) ikizidi sentimita 2.5, au zaidi ya inchi 1, basi huyo mwanamke hawezi kufikia...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni muda mrefu toka niwahi kusikia habari za ugonjwa huu lakini huwa najiuliza maana au dokezo la ugonjwa huu na ni nini dalili zake na je ipo tiba? Naombeni msaada wenu wakuu na ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
25K Views
Hi Comrades,poleni na majukumu ya hapa na pale. Kulingana na maelezo niliyopata mtandaoni kuna haka kaugonjwa ambako kanaonekana kapo kisaiklojia zaidi,baadhi ya wanawake wameshindwa kufurahia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Wana JF wenzangu habari za mida hii! Hili jambo linanifanya hadi mimi mwenyewe najishangaa. Mimi nina uwezo wa kuunganisha round 1 hadi ya 10 bila kupumzika ktk kusex. Ila kasoro yangu girl...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomben ushauri,nimeanza kufanya mapenzi hv karibuni,tatizo langu nikimuandaa vya kutosha mwanamke,nikija muingiza mdude haimalz hata sekunde 30,namwaga mambo,nsaidien nifanye nin niwe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna umuhimu serikali kuweka dawa za matatizo ya akili wilaya zote kama ilivyo kwa HIV kuondoa usumbufu kwa wanaochukua dozi hizo na ikumbukwe yapo magonjwa mengi ya akili kama kupendelea kunywa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Napenda kujua majipu ni ugonjwa gani, chanzo na tiba yake ni nini, nawasilisha!
1 Reactions
5 Replies
63K Views
wadau je kuna uhusiano wowote kati ya harufu mbaya ya kinywa na maambukizi ya HIV/AIDS?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KUKOSA hamu ya ngono ni tatizo ambalo wengi huona aibu kulizungumzia ingawa ni kitu kinachowanyima raha wanawake wengi. Inakadiriwa kuwa asilimia 40 ya wanawake hupatwa na tatizo hili katika...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…