Natambua na naheshmu great thnkers mliopo humu na ndio sababu nikapenda kuulza. Tatzo langu hli halijaanza leo wala jana, ni tangu utotoni, ilifka mahali nikaona ni kawaida ila baadae jamaa zangu...
Wana JF habari zenu,
Jamani hili tatizo si la kwangu bali la mtu ninayefahamiana nae anaomba msaada.Mwenzetu huyu anaomba ushauri.
Ana jamaa yake ambaye wanapendana sana na jamaa katangaza nia...
Instead of getting a cup of coffee, why not replace it with a warm water lemon drink!? Below are the good factors to consider.
1. Boosts your immune system: Lemons are high in vitamin C, which is...
Kama unahisi uko tayari kufanya mapenzi, au tayari unashiriki katika ngono, ni vyema kuchukua tahadhari. Hakikisha katika harakati zako za kufanya mapenzi, unajali afya yako kwa kufanya ngono...
MOYO ni ogani muhimu sana katika mwili. Inafanya kazi muda wote hata wakati ambapo umechoka sana au kulala.
Kazi kubwa ya ogani hii ni kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili kama kichwani hadi...
Habari wakuu.
Naombeni msaada wenu wa hali na Mali.
Nimepata msichana ambaye niko naye kwenye mahusiano mapya, nimetokea kumpenda sana na nahitaji awe mke wangu mungu akipenda hivi karibuni...
Habari wana JF, hususani wana jukwaa hili,, nimekua nikipata mafundisho na ushauri mbali mbali kuhusu afya kwa ujumla! Pongezi kwenu!
Ndugu wanajukwaa, kuna tatizo limenileta hapa naombeni msaada...
Haya ni Kati ya mogonjwa ninayoyaogopa sana.
1.HIV/AIDS (Ukimwi)
2.HPV
3.HEPATITIS (Homa Ya Ini)
4.SYPHYLIS(Kaswende)
5.LEPROSY(Ukoma)
KUna jingine.....??
Habarini za asubuhi ndugu zangu.
Ninamtoto wa kiume anasumbuliwa na tatizo la tumbo.
Nikimpa chakula tu, ama uji baada ya dakika 20 hivi lazima atajisaidia malenda malenda, yaani chakula hakikai...
Nina mtoto wa miaka miwili wa kiume, nimegundua kwamba hahisi maumivu either akidondoka, akipigwa, akichomwa sindano nk. Nimejaribu kumchunguza kwa mda mrefu tangu akiwa mchanga kabisa. Akikosa...
Naombeni ushauri wa hili linamsibu kaka yangu kipenzi.
Ameishi na mwanamke 4 years na yeye alikua na mtoto wa nje na huyu binti pia alikua na mtoto. Alimkuta huyu binti anatumia sindano za uzazi...
Wana JF na Dr wa mahospitali,
Naomba kuuliza kama kuna mgonjwa aliyewahi kupona nguvu za kiume kwa kutumia Dawa za mitishamba au za hospitalini au vyakula vyenye virutubisho please naomba hizo...
Unatakiwa ubadilishe mswaki kila baada ya miezi 3. Kuna watu wanatumia mswaki miaka 3.
Sio vizuri unatakiwa ubadilishe kila wakati ndo mana midomo haitaacha kunuka coz unatumia mswaki mda mrefu...
Habari JF Doctors,
Naomba kujuzwa kwenye hili.
Kuna ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa maajabu. Kichefuchefu, yaani kila anachokula kinamletea kichefuchefu anatapika.
Tumefanya vipimo vyote...
Moyo wa nguruwe
Maryland, Marekani
WANASAYANSI kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Moyo, Mapafu na Damu huko Maryland nchini
Marekani wanasema kuwa wamefanikiwa kuweka moyo wa nguruwe katika nyani kwa...