Nauliza, Dawa hii inayotumika kutibu Erectile dysfunction (Viagra/ Sildenafil) inauzwaje katika pharmacy zetu na prescription yake inakuaje?
Naomba mwenye kujua anifahamishe..Nina shida nazo.
Habar zenu wanaJF, ni wiki ya pili sasa toka niambiwe mwanangu hawezi kupona ni kama nimechanganyikiwa vile, kuna kipindi mwanangu aliugua ikabidi Mama yake ampeleke hospital kama ilvo kawaida ya...
Sabakher Wadau;
Nimesoma Vitabu Ving Lakin Bado Nashindwa Kuelewa!!
Ukimwi Unasambaa Kwa Damu! Hapa Naongelea Michubuko! Au Kwa MajiMaji Yaliyopo Sehemu Za Sir (Mucus)!
Kama Kwa Damu Ina maana...
Habarini Wadau,
Nimewahi kufika na kukaa kwa muda katika maeneo ya kibosho na huru kilimanjaro kwasababu za kikazi,nimeona asilimia kubwa ya wenyeji wa huko wana meno yenye rangi yaani isiyokuwa...
Habarini na heri ya Ijumaa kuu..
Napenda kuwapa stori hii...
Juzi nimekutana na rafiki yangu mwenye jinsia yakike niliyeachana naye kitambo sana tangu enzi za chuo....Tulikua kwenye basi moja...
Kuongezeka kwa ugonjwa wa UTI umeleta hisia tofauti katika jamii kiasi wengine kukwepa kutumia vyoo.
Kama wewe ni mwanamke, uwezekano wa kupatwa maambukizi ya njia ya mkojo, au UTI iko juu sana...
JAMANI..
I am 26 now..
Tangu niingie darasa la 7 mwaka 2004 mpaka leo hii nishamanliza degree 2016 napiga sana PULI...
Lengo langu ilikua kuepuka mademu wakat niko shule...
Hata sasa bado...
Arthritis is a disease that has afflicted thousands of people for a long time. In fact, some studies suggest that arthritis has been around for 4,500 years. Fortunately, there are ways you can...
Jamani mnisaidie.
Siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku, tena kwa sauti kubwa.
Kujamba kwake kunanishtua sana usingizini, na nashindwa kuendelea kulala.
Jambo hili...
Wakuu wa Nchi naombeni msaada kwa mtu anayejua Dawa ya kidonda ndugu please ya mbadala please .nasikia eti asali ya nyuki wadogo wanasaidia kuponyesha ,mwenye ushaurii naomba please.
Wakuu ts up.
Maziwa (breast) ya mwanamke nimesikia jamii za watu wengi Mathalani vijana wa mjini.. Wakimuona binti mwenye maziwa makubwa hudai kuwa amechezewa au ameshikwashikwa sana Maziwa...
Msaada jamani nimenunua kipimo cha mimba nakujipima majibu yapo hivi:
Umetokea mstari mmoja kwa juu ila tu hili eneo lililobaki yani limevilia rangi kama nyekundu.
Je ina maana gani?
Wakuu nimejarbu kuuliza na kutafakar wachojiskia baadh ya watu wanapojambishwa na kukosa majibu
Naomba wenye tatizo hilo watujuze tafadhal au kama kuna wanaojua chochote kuhusu hilo watujuze
Habari zenu wan jf. Nina mtoto wa kiume umri miezi tisa sasa, amezaliwa hana tatizo lolote la kifua ila leo nimeshangaa kifua kimembana usiku mida ya saa tano hivi , nimeshindwa nimsaidieje maana...
Jamani Nina tatizo moja sehemu ya lips zangu za mdomo huwa kuna bandukabanduka na wakati mwingine ukioga vinatokea vitu vyeupe baadae vinakauka na kuchubuka nakuacha mdomo ukiwa na rangi nyekundu...