Ana miaka miwili na nusu ila utosi wa mbele bado kuna sehemu ndogo bado inacheza, yuko kawaida anakula vizuri na kucheza, kuongea pia imekuwa shida, anajuwa kuhesabu, kusoma na kuimba ila hawez...
Samahani sana wadau na madaktari.Naomba msaada wa haya mawazo yazungukayo vichwani mwa watu.
Je? Shahawa ndani ya kondomu wakati wa kujamiana ni watoto wale...?
Na Punyeto kwa wakaka na wadada...
Wadau nilikuwa naulizia Dr Kisenge aliyekuwa anafanya clinic ya watoto pale Sanitas amehamia wapi coz sasa nizaidi ya miezi miwili hamna clinic yake pale Sanitas.
Natanguliza shukrani
'Composition' ya maziwa ya wanyama inategemeana na aina ya mnyama. Mungu aliweka composition tofauti kwa kila aina ya maziwa na mnyama husika ili maziwa yaweze kumwezesha kiumbe mdogo...
wanajamvi habari
kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu...
Wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya korodani (pumbu) hasa nyakati za kukojoa na maumivu haya hutokea tu endapo nimekunywa maji mengi sana..
May be lita 2 au lita 2 na nusu mida ya asubuhi...
Asalaam,
jaman mm nina matatizo ya matiti yangu yananiuma sana nikikaribia zile siku zetu za kubleed,alaf ikianza tu bc yanaacha kama sio menyewe yalikua yanauma
Wataalam em njoeni ni nini...
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa...
Naomba anayefahamu ninapoweza kuusaidiwa matatizo ya ngozi, miaka mingi sasa vikiota usoni kama chunusi basi ni vijipu, kwapa huota kama vijipu vidogo vdogo, sehemu za masikio vile vile, na sehem...
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26. Kwa siku ya pili sasa nimekuwa niki experience kitu ambacho sijawahi kupata. Moyo umekuwa ukidunda mara moja kwa nguvu hadi kifua kucheza...
Electrophysiology Lab Market
Electrophysiology Labs
Cardiac catheter ablation is performed by an electrophysiologist (a specially trained cardiologist) in a specialized electrophysiology lab. It...
Wakuu habarini za kushinda!
Mimi nina rafiki yangu ambae tunafahamiana tangu muda mrefu sana. Alikuwa ameolewa lakini bahati mbaya mume wake alitangulia mbele ya haki.
Wakati mume wake anafariki...
Faida 7 za Juisi ya Nyanya
1 . Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli
2 . Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C
3 . Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni...
Sumu mwilini na jinsi ya kuzitoa
Uondoaji wa sumu mwilini hutegemeana na aina ya sumu yenyewe.
1. Sumu kutoka nje ya mwili: Njia ya kwanza ni matumizi ya Dawa za kuivunja nguvu ile sumu husika...
Mlioumwa na hao wadudu wakali wanaotambaa karibuni mtupe uzoefu wenu wa kitabibu mliopata au kwenye ujuzi basi tupeni na sisi ushauri wa dawa au tiba ya kutumia.
Kwa experience ya case mbalimbali ambazo hufikishwa hospitali huku hali ikiwa mbaya kiasi au kushindwa kufikishwa kabisa basi ni dhahiri kwamba huduma ya kwanza ni muhimu sana. Huduma ya kwanza ...
- Kula chakula kilichopikwa vizuri nyumbani - balanced diet,
- Fanya mazoezi ya kiasi hasa ya kutembea na kukimbia,
- Punguza kahawa au chai,
- Lala kiasi ccha kutosha,
- Tumia mafuta ya nazi na...
Ndugu wana JF doctor,
Nimekuja kuomba ushauri nipo ndani ya ndoa mwaka wa nne nimekuwa nahangaikia kutafuta mtoto bila mafanikio.
Mke wangu amewahi kushika mimba kama Mara tatu zote zinatoka...
Nimeshashikia mara nyingi kutoka kwa watu mbalimbali kuwa Wazungu wametutengenezea virusi vya Ukimwi ili vituue tupungue, sababu tumekuwa wengi mno, Swali hapa linalonipa utata ni hili, Je kama...