Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nakumbuka wakati nikiwa mdogo, tulikuwa mimi na mdogo wangu tukaokota shilingi hamsini, ilikuwa inakutukutu hivi ila hatukujali sana, tukaenda kununua big G au jojo wengine huziita. Mimi ndio...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Kwa miaka ya karibuni magonjwa mengi sana na 'DEADLY' yaeweza kugundulika duniani na mengine kusababisha maafa makubwa pamoja na vifo.Na sasa ugonjwa mpya hatari umeingia duniani...kwa miaka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada, mtoto wa kaka yangu ana mwaka na nusu lakini kwa muda sasa amekuwa akisumbuliwa na majipu sehemu mbali mbali za mwili wake. Tushampeleka hospitals mbali mbali kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Upungufu wa damu (anaemia) hutafsiriwa kama kupungua kwa kiwango cha hemoglobin katika damu damu chini ya kiwango kinachokubalika kiafya. Kiwango cha kawaida cha haemoglobin (Hb) katika mwili wa...
4 Reactions
14 Replies
67K Views
Habari, Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?
2 Reactions
80 Replies
20K Views
Nina maswali ambayo huenda nina chembe za ufahamu wake tayari na kwa kuwa nimejenga sana imani na jukwaa hili naamini kuna watakaofunguka zaidi na kuniongezea kisima cha weledi. Watoto wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu mimi nilikuwa nachangamoto ambazo zilinisumbua kidogo Wanawake na Usingizi hivi vitu nimetafuta namna ya kuviacha kama sio kuvipunguza . Wanawake nimeweza ileweke sikuwa mtu wa zinaa sana...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu ni msaada upi au dawa zipi au chakula gani anatakiwa kula mama mjamzito wa mwezi mmoja kuelekea miezi miwili. Anatapika mno kila chakula au chochote anachokula...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakubwa habari, Nimekuwa nikisumbuliwa na kaumivu chini ya kitovu upande wa kushoto na korodani ya kushoto kwa takribani miez 3 toka mwezi 10 mwaka jana. Nilienda hospitali nikaambiwa mkojo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Waathirika wa ukimwi ni watu ambao tunaishi nao kwenye jamii wengine tunawajua na wengine hatuwajui. Maadam nao ni binadam na wanahisia bado za kufanya mapenzi, nataka kujua jinsi ambavyo unaweza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja hapa kitaani kwetu alifanyiwa oparesheni ya kibofu cha mkojo na hali yake mpaka sasa sio nzuri bado anaumwa serious sana. Niende kwenye pointi. Huyu mzee kulingana na historia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpo? Naomba samahani kwa kukosa nidhamu kwa hili. Hili ni sana sana kwa ke au hata me ambao pengine wanapitia ninayopitia. Mke wangu amekuwa akilalamika kwamba ninapommwagia mbegu zangu ndani...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilifuatwa na binti mmoja akilalamika kuwa amepata mchumba mzuri kwa kila jambo kasoro hawezi kabisa kumpa busu. Je, huu ni ugonjwa au ni nini? mimi binafsi sijawahi kusikia mwanaume asiyejua...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno? Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki. Tazama picha...
11 Reactions
176 Replies
49K Views
Kuna mdogo wangu baada ya kukaa na mke mwaka mmoja alienda kupima mbegu za kiume spam majibu yakawa MICROSCOPIC EXAMINATION. Count......2h/thousan Motility.....2% of motile with slow foward...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwa mwenye uelewa, hivi ukiwa unavaa kofia mara kwa mara inaweza kuathiri ukuaji wa nywele, hasa kwa wale wenye viwalaza/upara unaoanza? Marasta mbona huvaa kofia muda mwingi? Watu wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu huwa nasikia maumivu kwa mbali nikitembea mwanzo nilifikili uzito maana nilikuwa na kilo 85 nikajitahidei kupunguza kilo 2 bado nahisi maumivu sijui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Hili tatizo au kawaida? Husababishwa na nini? Tiba yake nini?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…