Baada ya kuandika Uzi kuhusu kuwa na tatizo LA mgegendo kuwa legelege watu wamekuwa hawaelekezi hospitali wala mtaalamu yoyote, nimekosa ufumbuzi maana nilihitaji kujua kama naweza kupata huduma...
Madaktari huunganisha habari unayotoa kutoka kwenye dalili unazohisi, historia ya maradhi yaliyowahi kukusumbua, uchunguzi wa mwili wako pamoja na kufanyiwa vipimo ili kugundua maradhi au hatari...
NIMEONA WAZAZI WENGI HASA JANUARY HII 2016 WAKIHAHA HUKU NA KULE,KWA TATIZO LA WATOTO WACHANGA NA WADOGO KUPATA SHIDA YA KUTOA CHOO/HAJA KUBWA KWA SHIDA SANA TENA HUTOKA KAMA YA MBUZI,HIVI DAWA...
Kuna hii therapy ya maji ambayo mtu anakunywa 1.5 litres (1500 mill) asubuhi kabla ya kula chochote, kisha anakunywa tena mills 750 mida ya saa tano hadi saa 7, baadae saa 11 hadi 12 jioni mills...
Ukitaka kubaki kijana na nguvu zako zote na pia kuwa na sura yako isiyozeeka na pia kutougua mara kwa mara basi tumia vyakula vifuatavyo: na hata kama ni mzee vyakula hivi vinauwezo wa kukufanya...
Je, wajua siri kubwa kwanini watu wa bara la asia wanaishi miaka mingi sana na huku miili yao ikiendelea kuwa na afya tele?
Siri hii ni kwamba watu hawa hupendelea sana kufanya mazoezi pamoja na...
Wadau msaada wenu unahitajika
Nimekuwa na tatizo la kuwashwa miguu eneo la kati ya goti na ankle kwa mrefu mara kwa mara.Nimekuwa nikiend hospitali najieleza and then napewa Cream ya GENTRISONE...
Sasa unaweza kupunguza uzito mkubwa wa mwili kupitia lishe.
Ungana na sisi kupitia ukurasa wetu wa whatsapp uweze kujifunza jinsi gani lishe inaweza punguza uzito mkubwa wa mwili.
Jiunge sasa...
Mke wangu anasumbuliwa na macho kwa kipindi kirefu sasa. Huwa anadai yana kama vikokoto na huwa yana muwasha na kupelekea macho kuvimba, nime mpeleka hospital alipata dawa yalitulia kwa muda tu...
Habari zenu wana JF,
Mimi ninamatatizo ambayo yananikuta usiku tu nikifika kitandani kulala.
1.Macho huwa yanaanza kuwasha pindi nikifika tu kitandani wakati kutwa nzima nakuwa niko poa.
2...
Narudi tena jamvini Kuomba msaada wa kijana wangu ambaye anaamka dhakar ikiwa imepoa akitaka kukojoa mpaka aishike
Kijana ana umri wa miaka sita, alafu anakuwa muoga kuogelea kwake ni sheeeeda...
Wakuu salaam!
Siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu mguu kuvimba, ulianza kuvimba tu bila maumivu na ulianzia chini kwenye vidole hadi kwenye goti, sijawahi kuumiza...
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Mimi ni kijana wa miaka 15 . But ninasumbuliwa sana na kiuno hasa ninapoinama.
Mf. Kuchota maji ukijumlisha na uzito wa kata. Aisee...
Hodi!
Jamani kama kichwa cha habari kinavyosema kula mayai ya kienyeji kwa siku karibia tray ila bado sinenepi!
Je nafeli wapi jamani maana kila nikila yananikataa, je kuna hatari gani kiafya...
Naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuweka la bandia,
Au hilohilo kuzibwa.
Naomba na msaada wa gharama kwa anayejua.
Ya kuweka la bandia jeupe, au kuziba.
Wakuu kwema humu.
Naomba kupata maelezo kuhusu hospitali nzuri ya Macho katika jiji la mwanza.
Nina mzazi wangu nataka akapate huduma ya macho.
Shukrani sana.
Wanasayansi wamegundua dawa yakutibu ulevi yaweza kutumika katika mkakati wa kuamsha virusi mfu vya VVU vilivyojificha na kuviua.
Dawa hiyo waliyoiita 'Antabuse' walipatiwa wagonjwa 30 wa UKIMWI...
AfyaYako Mfadhaiko (Depression) wathibitishwa kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na protini maalumu
Matokeo ya utafiti mpya yaliyotolewa kwenye jarida la taasisi ya sayansi ya
Marekani...