Kama tunavyofahamu, uzee, ugonjwa wa mishipa ya damu ya ubongo, na ukosefu wa virutubisho ni chanzo kikuu kinachoathiri uwezo wa kumbukumbu, lakini baadhi ya dawa pia zinaweza kupunguza uwezo wa...
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya kufanya mapenzi, lakini hii hali haikuwahi...
Mke wangu nimekaa nae miaka miwili.
Awali alikua kawaida, lakini baada ya miezi sita kila nikimaliza tendo dushelele hutoka na uchafu mweupe.
Nashindwa kuelewa ni nini, sijui ugonjwa gani? Hamu...
Kwa wiki moja sasa napata shida kweli. Nikila napaliwa sana. Mfumo wa chakula na hewa vinaingiliana. Ili nipate nafuu, lazima nipigwe pigwe mgongoni karibu na shingo.
Hata nikipiga mswaki hali ni...
Nawashukuru wasomaji wa Makala zangu wote kwa shuhuda zenu nyingi sana Mungu awabariki kwani nafurahi sana ninapo ona kila kona watu wananipa pongezi kwa kazi ninayo ifanya. Ninacho waomba wapenzi...
Habari Wakuu!
Nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la uvimbe tumboni upande wa kushoto, ni mda mrefu sasa.
Tangu mwezi Novemba 2015 amekuwa akiumwa sana, na kuna siku alitapita damu...
Wadau,
Nilifanyiwa kipimo cha MRI mwezi wa July mwaka jana, bahati mbaya Daktari wangu akawa amesafiri kwa dharura, hivyo sikuweza kuonana nae.
Hivi majuzi amerejea na ninatakiwa kuonana nae...
Asante sana wana JF waliochangia hii mada ya Dawa ya fungus ,kweli kama nilivyoomba msaada nilifuata huo ushauri na kwenda kwenye phamacy kununua Dawa ya cream inayoitwa GENTRISONE na nimepaka kwa...
Habari wakuu, ukirejea kichwa cha habari hapo juu, nini madhara yake?
Mwanangu ana mwaka na miezi 9, jumatatu iliyopita nilimwachisha nyonyo ila kwa sasa najuta naumia na kuna wakati nalia maana...
Nimeota Jana nimeua bahati mbaya. Niliota tukiwa sokoni ghafla mwizi kwenye asili ya kiarabu akichomoa simu nikamuona na kuanza kumpiga akaanguka chini kujigonga kwenye ngazi na kufa. Nikakimbia...
Pengine ni kutofahamu ningeomba kusaidiwa kujua hili, hata binadamu utoke kuoga dakika 5 tu zikapita, kidole chako ukatumbukiza katikati ya makalio makalio harufu itakayo toka huko hutaamini kama...
Wakuu wa Nchi hivi Kuna mtu au mtaalamu wa UROLOGIST anayekuja Dawa ya kufanya mbegu za kiume kutoka kwa njia ya kawaida, badala ya kurudi kwenye bleder ,maana unaweza kufika mshindo lakini...
Wakuu wa Nchi naombeni kama Kuna mtu anayejua Dawa ya kumeza au sindano au ya kupaka please anisaidie ,maana hichi kidole cha upande wa kulia cha mwisho kina Fangs mpaka kinasababisha tezi...
Naomba msaada wa kujua kama kuna blood group E negative, maana kuna ndugu yangu ameambiwa amepungukiwa damu inatakiwa mtu mwenye blood group E negative.
Me najua kuna A, B, AB na O tu.
Hamjambo wapendwa,
Naanza kwa kusema jamani kunakuwa na ongezeko kubwa la watu kuota vitambi na kunenepa ovyo.
Yapo madhara mengi sana yatokanayo na unene kama kuongeza hatari ya kupata...
Wazazi na walezi wote, huwa kuna sababu gani ya kumtafunia mtoto chakula? Mi huwa naona ni uchafu tu kwakweli hata kama mtoto ni wako. Mambo mbona yamerahisishwa kama unataka kumwahisha kula...
Hii hali hutokea mara moja moja sana, yaani naweza kuwa nimejilaza kitandani inatokea eneo linalozunguka kitovu linakuwa kama linavuta hivi kiasi kwamba siwezi kufanya chochote kwa wakati huo...
Habari wakuu,
Naomba msaada waharaka, ninampenzi wangu ambae kwamara ya kwanza nimesex nae ilikuwa ni juzi ijumaa,jumamosi akaanza kuhisi muwasho sehemu za siri haswa anapokwenda haja ndogo.
Jana...