Wakuu nimevimba jipu sehemu ya mkono wa kushoto na ndyo nautegemea kwa kila kitu
Jipu hli lilianza siku ya jumamosi iliyopita ni kama kudungu tu kidogo ambacho hakiumi baada ya siku nne mara mkono...
Michirizi ya ngozi ni moja ya matatizo yanayowapata watu wengi hasa wasichana na wanawake. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili. Kati ya asilimia 50 na 80 ya...
Wakuu mke wangu ana mzunguko wa siku 30.
Huwa anaingia siku zake tarehe sita na saba hivi,sasa nimekutana naye kuanzia tarehe 20-28.
Siku tatu za mwanzo tulitumia kinga ila zilizobaki tulitumia...
Jamani wadau habari zenu!
Ushauri, msaada unahitajika.
Jamani, iko hivi nina kakangu ambaye ameoa miaka 15 iliyopita yeye na mkewe wamejaliwa watoto wa kike tu wako saba na mda wote huo alikuwa...
Quantum magnetic analyser ni mashine ya kupima magonjwa mbalimbali ambayo imeingia hapa kwetu na nimeiona zaidi kwa hawa waganga wa tiba asilia na kama una matatizo yeyote ya mapafu maini figo nk...
Wasalaam,
Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera...
Naomba ushauri wa kupata tiba ya ugonjwa huo wa kukauka maji ktk nyonga kwani ni tatizo kubwa lililompata jamaa tangu japo anapata tiba bugando lakini naona kama haisaidiii kabisa licha ya kuwa...
Habarini wapendwa,
Nimekuwa nkisikiasikia mara nyingi kua chakula aina ya pilau sio kizuri kwa afya ya binadamu. Hivyo nimekua nikikikwepa, pia pindi nilapo chakula hiki lazima tumbo linisumbue...
Na Florence Majani, Mwananchi
TAKWIMU
*Wagonjwa milioni 22 ifikapo h2030 ikilinganishwa na milioni 14 katika mwaka 2012. WHO
*Asilimia 80 wanafariki dunia kutokana na kuchelewa kupata huduma ya...
Kwanini matatizo yanayotokea wakati wa kuzaliwa mtoto yanayosababishwa na Rh factors kwamba kama mama ni Rh- na mtoto ni Rh+ hayawezi kutokea kama mama na mtoto wana different blood groups...
NEPLILY SANITARY PADS
NEPLILY SANITARY PADS,
MAANA YA NEPLILY
Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni
“Nep” kutoka kwa neno Neptunus
“Lily” kutoka kwa maua...
NGUVU ZA KIUME NI MOJA YA TATIZO KUBWA KATIKA KARNE HII YA 21. YAPO MAMBO MENGI YANAYOCHANGIA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME.
Vitu 4 vinavyoangamiza nguvu zako za kiume na kukuacha mwenye msongo wa...
Wadau nasumbuliwa na maumivu makali mno ya miguu yote wa kulia na kushoto sehemu ya chini ya magoti kushuka chini.
hali hii inatokea wakati nafanya mazoezi ya kukimbia miguu inauma kupita...
Vidonge vya kufifisha virusi vya Ukimwi.
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya...