Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Anasumbuliwa na tumbo baada ya kujalibu kutoa mimba ya mwezi mmoja kwa kutumia dawa ambazo mbili unameza nyingine unaweka chini ya uke karibu na kizazi. Afanyaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi...
0 Reactions
101 Replies
52K Views
Naomba kwa mwenye kujua faida za kunywa maziwa yaliyo changanywa na asali.Je yanasaidia ugonjwa wowote Wa tumbo?Msaada tafadhali!!.
0 Reactions
2 Replies
16K Views
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwawanao taka kutoa vitambi kupunguza unene na manyama uzembe product zetu za mimea na matunda ndo suluhisho. Zisipo kusaidia hela yako inaludishwa Tuwasiliane 0683109166
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Hi Wanajamvi Jamani naombeni msaada na kuwauliza kwamba mke wangu tulikutana kwajili ya kutengeneza mtoto cha ajabu amenda mp cku 30 badala ya 32 ambayo ilikuwa normal.Na hajapata maumivu a tumbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yani nina 92kg nataka kupunguza uzito wa mwili at least nifike 80 if not 75 nataka mnishauri diet nzuri itakayo nisaidia nafanya mazoezi kidogo though sitaki dawa za kunywa ili nipungue uzito no...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari wakuu. Naomba kujua kuhusu Pneumonia, hasa kwa watoto wadogo.......inasababishwa na nini, na namna ya kujikinga. c.c: MziziMkavu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chennai ni jiji la tano kwa ukubwa nchini India, jiji hilo limepigwa na janga kubwa la mafuriko ambayo hayajawahi kutokea kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, mafuriko hayo yameliacha jiji hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam Jf! Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana. Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Wakuu heshima kwenu,hii mada nimeileta jukwaani kwa wataalam zaidi,kuna mtu alikuwa anasema kama mtoto ni mfupi na yupo chini ya miaka miwili kuna vyakula au dawa ukimpa anarefuka haraka,je hii ni...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Wakuu, Utoaji mimba ni jambo hatari. Kuna wakati inabidi, lakini asilimia kubwa ya watoaji mimba ni wasichana wadogo, hasa walioko shule ambao wamejiingiza katika vitendo vya ngono mapema...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu nna ndugu yangu anatafta mtoto toka kuolewa ni mwaka wa 3 ila hajashika ujauzito kashapima vipimo vyote ila ikifika kwenye homoni anakutwa zinapishana, afanye nn ili kurudisha katika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salamu kwenu wana MMU, Karibuni sana katika hili kuna kitu naomba mnijuze enyi ndugu zangu. Kuna mtu mmoja yapata wiki moja sasa anasumbuliwa na uume. Nihivi kila akimaliza kukojoa mkojo( huu wa...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Mimi ni mgonjwa wa tumbo toka 2013. Niliwahi kwenda hospital Moro kwa deside nikapiga ultra sound na kuambiwa hamna kitu, nikapewa dawa zikanisaidia kiasi na ulabu nikawa nimesimama. Nilivyo kaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na minyoo sugu ya Ascaris (Roundworms) ametibiwa mara nyingi hosptali bila kupona afanyeje.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu, Jamani naombeni msaada wenu, mdogo wangu ana tatizo la kinywa. Meno yake si meupe na anatoa harufu mbaya na mengine yameanza kuoza. Je anaweza kutumia nini kutibu tatizo hili na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna jambo linanitatiza sana,eti kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia sehemu za siri za mtoto,mtoto huyo anakuwa -------(kwa mwanaume),na mgumba(kwa mwanamke?)...hizi habari nimezipata sana na...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
kuna ndugu hapa anaharisha sana amekula jana maziwa pamoja na samaki analalamika tumbo na pia anatapika atumie kitu gani apone maana nasikia maziwa na samaki ni mchanganyiko...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia. Hapa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…