Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaidi natokea kwenye familia maskini ambayo haiwezi kunipeleka India. Sasa kwa yeyote...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nauliza kuna maduka ya dawa wanakouza izo dawa au ni hadi uende ospitali na vituo za afya za gavment ??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nilikuwa napiga story kijiweni na wazee flani hivi hapa kitaa wanasema eti mwanaume asiposhikwa na ngiri siyo rijali? Kuna ukweli au na mawazo yao. Naomba wana JF mnambie kama ni ukweli au...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Natibu watu wenye matatizo yafuatayo kwa gharama nafuu sana. Mawe ya kwenye mfuko wa nyongo bila upasuaji. Mtu kutokwa na jasho jingi muda wote, bila sababu maalum. Matokeo ni ndani ya masaa 48...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
nawezapata wapi hii dawa ACIVIR_800 DT
0 Reactions
0 Replies
595 Views
wandugu naomba kukiri mi ni dependant yani zile classification za ICD 10 na meet zote ila sasa i hv been struggling kuacha pombe nimeshindwa kabisa. nisaidieni kama kuna hizi group therapy hapa...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Hello, Yaani sasa yapata mda mrefu sana nina kama vipele vipele usoni vingii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sana. Nisaidieni nitumie dawa gani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada. Hivi kuna dawa ya kumfanya mtu arudie tendo la ndoa mara nyingi zaid? Kama kuna dawa wapi inapatikana? Maana ndoa inataka kuvunjika huku.
0 Reactions
26 Replies
11K Views
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume vya kutosha kuweza kujamiiana. Anaweza kushindwa kusimamisha kabisa au akashindwa kumaintain...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
HII NI HABARI NJEMA KWA WASIOPENDA UNENE NA WANAOTAKA WASIPATWE MAGONJWA YA KISASA! Kwa miaka sita iliyopita duniani tatizo la kisukari limeongezekwa kiasi cha asilimia 600%. Wataalamu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Habarini Kwa anayejua vidonge vyovyote vya kumfanya mwanamke ashike mimba haraka . Naomba anijuze na bei yake ikoje (fertility drugus).
0 Reactions
7 Replies
76K Views
Wakuu salaam, Tangu nilipokua mdogo hadi sasa Nina 26, sasa tumbo langu ni kubwa mithili ya kitambi au minyoo, nimejaribu kutumia dawa za minyoo lakini hamna mabadiliko. Nawaza sijui niende...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Mtaalamu wa upasuaji wa uti na magonjwa ya mfumo wa fahamu kutoka hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar. Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi ni kijana wa miaka 24 . Mke wangu alikuwa na ujauzito wake wa kwanza mwezi wa tisa sasa yeye ni mwalimu baada ya miezi miwili akanza kuingia siku zake sasa hapo ndio kwenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Kwanini nikikimbia baada ya kusimama kwa muda kichwa kinauma na kizunguzungu? Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema baada ya kusoma taarifa za watu mbalimbali humu JF. Juu ya uthubutu wao wa kutahiriwa ukubwani na wengine wakisema govi linafaida binafsi nikawa upande wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua hospitali inayowezakutibu hilo tatizo kwa bei nafuu.vipi kcmc, mawenzi? Je huduma za bure kwa wazee (zaidi ya miaka 60) zinapatikana kwenye hospitali hizo? natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mke wangu anaumri wa miaka 25, ana mtoto wa miaka 5 na amekuwa akichoma sindano za uzazi wa mpango. Kwa sasa ana mwaka hajachoma tena, amekuwa na tatizo la kukosa kusikia radha ya tendo la ndoa...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
WanaJF, Naomba mnifahamishe faida na madhara ya hivi vyandarua vya msaada vilivyo na dawa ya kudumu kwa miaka mitano kila mama mjamzito huwa anapewa.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna siku nilikula kuku wa kisasa ilikua jioni, asubuhi nikajikuta nimetoka na viupele kama vya kuku baada siku tatu nikaenda kupima wakaniambia nina fangasi, kwa akili ya haraka haraka kuna wazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…