Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini za asubui! Mimi ni mjamzito wa miezi sita, nikilala chali naskia kama mtoto anapanda kifuani. Je, hili ni tatizo? Au hairuhusiwi mjamzito kama mimi kulala chali?
0 Reactions
13 Replies
46K Views
Wakati nipo na miaka 13 nilishawahi kupata Kisonono (Kichocho), wakati huo ilikua tunaogelea sana katika mito michafu. Ila sasa tuko watu wazima. Jana niliamka na homa baada ya kujisikia...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu, naomba kujua kuhusu chanjo ya homa ya manjano kwa wanaosafiri ni wapi inatolewa na kwa siku gani na gani. Pia kwa mwenye kujua hospitali ya Apollo iliyoko Chennai nchini INDIA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya leo JF Ninatatizo la kitovu kutoa maji kwa muda mrefu sasa miaka 25 nimekwenda hospital bila mafanikio nimemwona mtaalamu wa ngozi KCMC kipindi cha nyuma lakini kwa sasa nimekata tamaa...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Wapendwa, Kuna ndugu yangu ana tatizo anauliza kliniki bora ya maneno kwa maana ya utaalamu na vifaa vya kisasa. Meno yametoboka lakini baada ya kuyaziba anasikia maumivu zaidi ya pale mwanzo na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada pliz nakosa hamu ya tendo la ndoa, nifanye mini ili nipate hamu?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari! Nimejichoma kwenye kidole na sindano ya cherehani nilipokuwa nashona,lkn jeraha ni dogo.Naomba msaada Kwa anayejua dawa ya kutibu jeraha.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wakuu, Naombeni mnipe msaada kwa hili maana nlienda hospital na my ex wiki ilyopita akakubaki kupigwa X-Ray wakat najua kabisa ana ujauzito wa jamaa aliyenisaliti nae. Wakati...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Dar Es Salaam, Oktoba 2015: Ikiwa zimepita siku tatu toka kuhadhimishwa siku ya Moyo duniani mwaka huu, Watanzania wameshauriwa kufanya maamuzi binafsi katika kujali afya ya moyo. Kauli mbiu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa. Naomba kujua alipo Dr. ndodi kuna mtu ameniambia anaweza kutibu tatizo langu la kuota ndevu kwa bahati mbaya aliyenipa hizo taarifa kwa sasa hajui alipo, mwenye taarifa zake msaada pls.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habarini madokta na member wengine wote, jamani nakiri kuwa sijui na ningependa kujua na chaguo langu la kwanza la kunielimisha limekua jf, najua humu kuna madaktari bigwa na member wenye ujuzi na...
0 Reactions
14 Replies
171K Views
Wakuu, Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa anayefahamu. Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa kawaida binadamu inabidi apate choo masaa sita baada ya kula. kuna baadhi ya watu hawapati choo zaidi ya siku mbili hilo ni tatizo baya maaba huleta madhara baadae. kwa msaada na dawa asili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA! Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kijana mtanashati, Mpole, mstaarabu, mrefu japo sio sana nina sex body ninamvuto wa kimapenzi wasichana hunimbia. Japo sio handsome wasichana hunipenda sana. lakini nina uume mdogo, miaka 20...
1 Reactions
81 Replies
10K Views
Habari wadau naomba msaada wa effects ya abortion pills for three weeks pregnant.na je kuna uwezekano ku save mimba akiwa kaisha vimeza hivyo vidonge? Msaada please
0 Reactions
13 Replies
6K Views
habari zenu ,wanajamvi naomba mnisaidie sababu za hedhi kuwa ndani ya siku 1 afu inakata cjatumia contraceptive yoyote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Mwanajamii! Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri vema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari Nime download apps kwenye play store yangu ambayo ina test kama u HIV positive or negative. Nikaona nikipata mchepuko we test before the game. Issue ya msingi ninayo omba kufahamu...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…