Although being tall certainly has its advantages, a new study says those who are vertically blessed are actually more likely to develop cancer. Tall women are particularly affected, according to...
habari za jioni wapendwa wa jukwaa hili tukufu natumai muwazima wa afya,naomba kuuliza kwa wataalamu kuhusu hizi dawa za mbu mfano kuna hii iliyotoka ya kufukiza je haina madhara iwapo utafukiza...
habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu...
CORDYCEPS PLUS CAPSULE
a) Hurutubisha mapafu, figo na Ini
b) Huongeza kinga mwilini.
c) Huondoa sumu mwilini
d) Huboresha upumuaji
e) Hupunguza makohozi
GANODERMA PLUS CAPSULE
a) Huangamiza...
Source: Mafanikio Na Afya Njema
Long Shiny Hair:
Hair is made of protein fibres that comes from the follicles present on the scalp
A good diet provides essential nutrients to hair
Hair...
Wakuu huwa najaribu kutafakari kwa makini lakini nashindwa kupata jibu,
kwa mujibu wa wataalamu wetu ni kuwa kufanyiwa Tohara kunapunguza
maambukizi ya UKIMWI nataka kujua kivipi wakati ile ngozi...
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini...
Salaam zenu wana JF, msaada wa daktari bingwa nina tatzo la tumbo kujaa gas, linakuwa km linavimba but linauma upande wa kulia chini ya mbavu. Maumivu haya yanaenda had kiunoni upande huo huo...
Nimekuwa nikisikia toka kwa watu wengi kuwa mimba inapozaliwa na miezi sita na kuendelea mtoto anaweza kuishi isipokuwa ikizaliwa ikiwa na miezi nane mtoto hawezi kukua.Hapo ndipo nashindwa...
Jamani nilikujaga na uzii humu kuwa sipati mimba, sasa nashukuru nimepata ina mwezi mmoja, tatizo nikifanya kazi kidogo tumbo linauma damu inatoka kidogo.
Nikaambiwa nilale sasa ninavyolala...
Madaktari nchini Uingereza wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza. Katika majaribio hayo ya kimatibabu, madaktari hao watapandikiza nyumba ya mtoto kwa...
Majuzi katika mitandao ya jamii nimetumiwa app ya HIV test inayotaka kudownload kwenye playstore ambapo ukishadownload unaweka kidole kwa muda kama Dk 1 ina scan inakupa jibu kama una virus au...
Habarini Za Jioni,
Nina Maumivu Ya Taya Kutokana Na Kugeuka Kwa Ghafla Karibu Na Maungio Ya Shingo Nashindwa Kutafuna Chakula Kama Nyama, Hata Tonge Namega Kidogo Kama Mtoto Coz Mdomo Haufunguki...
Wanajamvi ni vema kusaidia endapo kama Kati yetu anauwezo wakusaidia mwingine.
Mimi nauwezo wakutoa maumivu ya sehemu mbalimbali ya mwili pasipokujali umbali uliopo ndani ya dakika 5-10...
Waungwana naomba kufahamu kuhusiana na tiba anazotoa Dr.Mandai ambaye ofisi zake zipo Ulongoni Gongo la Mboto, maana nashawishika kumpeleka mke wangu kupata Tiba ya Vidonda vya Tumbo.
Au kama...
Habari za Asubuhi GT's.
Natumaini Yu Wazima.
Mimi Ni Kijana Wa Kitanzania, Nina Tatizo Lilioanza Muda Mrefu Kidogo, Nasumbuliwa Na Kutokwa Na Vipele Pamoja Na Michubuko Katika Kichwa Pamoja Na...
Habarini za leo ndungu zangu,
Mimi ndugu yenu naomba kufahamu pharmacy yeyote iliyo Dar, hasa maeneo karibu na Tazara, Ilala, Buguruni na karibu na hayo ambayo hawana usumbufu katika kutoa...
Kunatatizo linanisumbua sana, tatizo lenyewe ni kwamba ninapokuwa na mwanamke, kabla ya kufanya lile tendo mashine huwa inasimama sana lakini pale nikitaka ku Do tu mashine inalala,hii...