Wana jf,
Naomba msaada kwa anaefahamu tiba juu ya upofu wa ghafla.
Umemkuta jamaa yangu kaenda hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro amepimwa kila kitu lakini hana tatizo lolote popote.
Nimekutana kimwili na mpenzi wangu siku y 6 tangu amemaliza siku zake.
Je, kuna uwezekano wa yeye kupata mimba?
Je, lile bao la pili linaweza likasababisha ujauzito?
Jamani naomba msaada wenu, natokwa na usaha kwenye uume wangu, na hii imenitokea toka juzi.
Ilianza siku mbili baada ya kufanya mapenzi na msichana mmoja hivi,nataka kujua ni ugonjwa gani huu...
Habari wanajukwaa.
Kwa wajuzi nisaidieni.
Mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida...
Throughout history the main reasons human beings willfully kill other human beings are religion and greed. Although it is surprising that people steeped in a religion that worships a "loving god"...
Habarini wadau.
Hivi juzi nilienda angaza kupima Ukimwi. Majibu yakatoka nikaambiwa niko poa. Yaani negative.
Nilitoka na furaha sana. Kiasi cha kutouliza tarehe ya kurudi nilipewa kikadi...
Kwa miaka minne sasa naendelea kupambana na ascaris kwatumia mitishamba na aina nyingi za madawa ya hospitali, lakini imendikana kabisa.
Is there any person with idea to get rid of this fucken...
Hizi ndizo faida ya sigara.
1. Mwizi hawezi kuiba kwako usiku.
2. Mbu hakukaribii karibu yako.
3.Huzeeki bali unakuwa kijana tu.
Naam lazima mutajiuliza kwanini hivo. Wacha niwape maana ya...
Ni bidhaa bora zitakazokufanya uwe na afya madhubuti katika mwili wako.
Zinauwezo wa kutibu magonjwa yafuatayo:_
1. Kisukari
2. Shinikizo la damu
3. Kurudisha kinga mwili kwa waathirika wa...
Habari zenu!
Mi ni mdada ambae natafuta jibu la swali hili. Nimepima Mimba kwa kutumia UPT ila majibu yameonyesha mstari mmoja ambao ndio unaonekana sana. Ia pia ukikiangalia kwa makini sana...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, mwili wangu sijui una nini maana nihisi kama vitu vinatembea mwilini na pia naota ndoto za ajabu sana, na kiukweli mambo yangu hayaendi vizuri kila nilipangalo...
Salam wakuu,
Ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF (upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali!
Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani?
Natanguliza shukrani.
Hi?,wanajamvi mimi ni mgeni katika jukwaa la Jf doctor,
Naomba ushauri kwa wataalamu wa mazoezi ya viungo na mwili kwa ujumla.
Mimi ni kijana umri miaka 23. Nahitaji kuwa na Mwili wenye nguvu...
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.
Msaada wa kitaalam.