Hello wana JF.
Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?.
2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa.
Nisaidieni ushauri na...
Kutana na dozi ya kisukari inayoponya kisukari kwa siku tatu tu baada ya kuitumia. Doctor MWAYA anapatikana Songea.
Anatoa hii dozi ya kisukari ambapo mgonjwa atapewa siku tatu za kutumia hii...
Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe asilia mtu anaweza kumaliza tatizo lolote la kiafya na kuweza kuishi kwa amani na kwa kujiamini. Kuhusu kupungua uzito ni jambo muhimu sana la kuweza kujiweka sawa...
habari wandug wana JF nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style.
Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
Je umepata hii? kumbe mtu aliye na tatizo la akili, kifafa na uzezeta anaweza kurudisha kumbukumbu?
Hii ni ajabu! Huduma hii ipo kwaajili yako na jirani yako.
Tuwasiliane 0763797853
Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio, msaada wana JF please.
Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes but no hope. Nimejaribu kwa cotton buds...
Kimsingi sababu kubwa inayotupunguzia umri wa kuishi na kututengenezea magonjwa sugu ni tabia yetu ya kuthamini vitu vilivyotengenezwa na wanadamu badala ya vile tulivyowekewa na Muumba wetu.
Mtu...
Wadau salama?
Mimi naomba kuuliza kama kuna madhara yanayoweza kutokea kama mtu kwa makusudi au bahati mbaya atameza maji yaliyochanganyikana na dawa ya meno kwa muda mrefu kama mwaka mmoja...
Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na ute mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa...
Leo ktk sehemu yangu ya kazi kuna bint alikuwa analalamika kuwa matiti yake yanauma hasa ktk ncha...mwenzangu akasema lazma itakuwa mimba, mwingne jipu. Lakini nimebaki na maswali je kuwa na mimba...
Mimi nawaomba tusaidiane kuishauri serikali kutafuta ufumbuzi wa Ugonjwa wa presha zaidi kwani unaua wengi, huu ni sawa na UKIMWI hebu wataalamu kuna dawa ya shinikizo la damu?
Je, mtu akishapata...
Heshima yenu nawapa, naimani mko salama nmejitokeza kwenu nikiwa na tatizo ambalo mwanzo nliona ni kawaida tu ila sasa limenizidia, nimekuwa nikiumwa sehemu nzima ya kisogo pale ninapoegemea...
Habari,
Niko katika harakati za kutaka kumsaidia matibabu girlfriand wangu,anasumbuliwa na infection katika kizazi ingawa haijajulikana wazi ni ipi hasa sasa kuna suggestion imetolewa kwamba...
Wanandugu, habarini za jioni?
Ninataka kufahamu kwamba eti mtoto akianza kutembea basi anaharisha. Je ni kweli kuna uhusiano wowote kati ya mtoto kuanza kutembea na kuharisha kwake.
Mwenye...
Mh wadau kitu kiitwacho nyeto, si kizuri yani acha kabisa, kwani madhara yake ni makubwa, ikiwemo kupungukiwa na nguvu za kiume yaani mashine inapoteza uwezo wa kusimama imara, cuz misuli Imelegea...