Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nina gal wangu ambaye niko naye kwa muda wa miaka miwili but tumeanza kusex nae mwaka huu mwezi wa kwanza. Tatizo lake ni kwamba since nimtoee bikra yake yani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu, Kuna mtu anasumbuliwa sana na maumivu makali ya miguu hasa kwenya magoti.Umri wake ni kama miaka 70. Nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza kumpata mtaalamu hapa Tanzania...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari, naomba ushauri wa kitaalam kuhusu issue mbili zinazomkabiri mke wangu. Issue ya kwanza: Mke wangu ana ndevu kwenye kidevu, sio nyingi sana but anataka zitoke permanently. Je, ni vizuri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana Bodi. Naomba kujua angalau kwa undani kuhusu ugonjwa huu wa UTI hasa kwa kina dada,je ni ugonjwa wa zinaa? stori nzima iko hivi.... Jana kaja rafiki yangu akiwa mnyonge...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana,nina mtoto wa ndugu yangu ana miaka mitatu,ana utindio wa ubongo kidogo,lakini kuongea bado,naombeni msaada wenu tafadhalini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mschana mwenye miaka 25 Siku hizi nachoka sana mikono nikifua yaaani kama inaishiwa nguvu na kuchoka hapo ni nguo ya pili tuu.....zaman nlikua nafua mpka rundo la nguo sisikii kuchoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
story yangu inaaza hivi, nakumbuka mnamo tarehe 09/06/2012 majira ya saa 10 jioni nilimpokea mchumba wangu kutoka Same na kuja huku nilipo Ruvuma. so tukawa tunaishi pamoja, nakumbuka siku ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninafungus chini sehemu za asili and am a men ni dawa gani nzurii ya kutumia maaana ni long time kidogo...........
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Waheshimiwa wana JF,salaam.Naomba kuuliza mbali na kutumia kinga/condomni kipi tena inabidi kukiepuka wakati unajamiana namwana ume/mke ambaye ni HIV +ve.La mwisho je tongue kissing...
0 Reactions
15 Replies
22K Views
Naomba kuuliza Nina MDOGO wangu ana mimba miezi 8 na cholesterol Yake iko juu sasa ameshauriwa hospital I atumie junior aspirin na mdalasini sasa kila akila akitafuna mdalasini anasikia maumivu...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Jaman mimi nina kidonda cha zaidi ya miez mitatu. Naombeni mniambie ni dawa gani nitumie ili kidonda changu kiweze kukauka kabisa pamoja na gharama zake?
1 Reactions
24 Replies
98K Views
Wataalam msaada katika hili nina mpenz wangu anatatizo hili la kushindwa kula nimemuhoji anasema njaa anapata ila akila anakula kidogo sana baada ya hapo hawez kula anameza kwa shida had anahis...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, kwa sasa ninavirusi vya ukimwi, ninatamani sana kuolewa na kuzaa watoto, nifanye nini? je ntapata mwanaume wa kunioa? na tukitaka kuzaa salama...
10 Reactions
38 Replies
14K Views
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi mitano na ni wa kiume,mwezi mmoja uliopita alikuwa anakojoa huku kachuchumaa nje nikamuona last drop ilikuwa na wekundu wa Sami,nikamwambia wife akakataa na...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari wakuu. Ningependa kujua gharama za kipimo cha MRI kwa hospital ya Muhimbili au hospitali zingine kwa Dar es salaam. shukrani.
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari zenu waheshimiwa mabibi na mabwana..... Mimi ni kijana wa kiume,tatizo langu ni maumivu ya nyonga yananisumbua sana,nikiinama shida,nimejaribu kufanya mazoezi ya nyonga lkn bado.Wakuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amber Girling, 20, from Chatham, Kent, weighed 9st at age 17 (she is pictured, left), but began thinking about her weight when girls at school called her 'curvy' and made fun of what she was...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari zenu wandugu, Mimi ninae mpenzi takribani mwezi wa tatu sasa, ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mrembo na mwenye kazi nzuri tu. Tatizo ni kwamba tunapokuwa faragha tukifanya yetu huyu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…