Habari za jioni,
Naomba msaada wa dawa ya macho yanayo washa,nina vaa miwani takribani miaka 13.
Ivi karibuni macho yananiwasha sana na kutoa uchafu mweupe,nimetumia dawa za matone kutoka...
Jaman naombeni mnijuze.
Hivi ukifanya mapenzi siku ya mwisho ya period bila condom unaweza kupata mimba? mfano start 15 end 19 january, tarehe hiyo hiyo 19 january ukafanya je uwezekano upo?
Wana jf kuna dawa ya kuchoma kwenye mkaa ni kwa ajili ya kuua mbu, ukweli ni kuwa iko effective kweli ukiichoma tu ule moshi ukitawanyika ndani ya nyumba hakuna mbu anayebaki hai, na mbu...
Wapenz wanajf nimekuwa na tatzo la kuvimba vipunye kichwani yaani ukivitumbua vinatoa usaha!
Jambo la kujiuliza tangu nimehamia huku ndo vinaonekana kuwa tatizo hasa na wakati mwingne...
Hili suala hutokea kwa watu tofauti tofauti wakati wakiandaa
ripoti hasa zinazohusiana na masuala ya Fedha.
Je? Kitaalamu lina adhari gani?
ni kiasi gani cha nyongo hutengenezwa na kuleta...
Wataalam wa tiba naomba msaada wenu wa kunijuza chakula kinachoongeza wingi wa mbegu za kiume maana huwa natoa mbegu kidogo sana.
Nafanya ngono almost kila siku, najua hiyo inachangia kupelekea...
According to a research conducted over ten years on thousands of respondents, too much vitamins in the body pose the risk of one developing cancer and heart diseases.
Experts have, therefore...
Napata maumivu wakat wa kujisaidia haja kubwa maumivu kama ya mtu aliekula pili pili nyingi na muda mwingne nawashwa sana,takribani wiki ya pili sasa,najisaidia choo cha kawaida na sio...
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa MWENYEZI MUNGU..kwakunipa PUMZI NA AFYA NJEMA.
Wapenzi, nina Ndugu yangu ana bleed mwezi wa 3 mfululizo na maumivu makali sana ya Tumbo...
Eatinginsects is considered as disgusting or even primitive in Western societies butelsewhere, 2 billion people consume insects on a regularly basis. Now,according to a report released by the UN...
Mzee wangu ana miaka 52. Tangu 2007 amekuwa akisumbuliwa na FIGO ameenda kutibiwa hadi Seliani. tatizo hii bado lipo; dalili zinazo onekana ni kushindwa kula, kushindwa kutembea, maumivu makali ya...
The medical conditions that can turn a woman's sex life to AGONY: Many suffer in silence but could be helped by very simple treatments
Dyspareunia - pain during sex - is a surprisingly common...
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote walonishauri kipindi nlipohtaji kujua kuhusu afya yangu ya uzazi na mke wangu alikua hajashika mimba kwa mda mrefu, mke wangu ameshika ujauzito mwezi...