Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello wana JF,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF, Naomba msaada; masikio yangu yanawasha sana. Nimetumia pamba stick kusafisha mara kwa mara ila hali ni ile ile, wala hayatoi uchafu ila yanawasha kwa ndani tu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mke wangu alijifungua yapata wiki ya tatu sasa. Bahati mbaya, mtoto hakuwa riziki. Sasa maziwa yamekuwa yanajaa na kumwagika. Afanyaje ili yakauke na yasiendelee kutoka?
0 Reactions
28 Replies
36K Views
Habari za Jumapili wakuu! Kwasasa tuna mtoto wa kike mwenye umri wa miezi saba, juzi mama mtoto wangu kafanya vipimo kakutwa na mimba ya wiki tatu. Naombeni ushauri, hasa namna ya kuhandle hali...
2 Reactions
45 Replies
16K Views
Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habarini za muda huu... Kuna dawa naiskia sana ya nguv za kiume ambayo n mchanganyiko wa asali mdalasin na kitunguu swaumu. Je dawa hii inatumukaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Msaada tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni siku nyingi kidogo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hapa Tanzania lakini tangu nimeanza naye uhusiano sijawi kumpa hata shilingi yeye huwa anasema ananipenda sana na angependa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nipo Dar es salaam, Nilitaka kupata mawasiliano au taarifa ya daktari wa ngozi au DERMATOLOGIST yeyote kwa hapa Dar au hata alieyeko DODOMA! Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello wana Jf,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama aliyejifungua karibuni anatakiwa kula vitafunio gani na vyakula vya aina gani
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu..., Kumekuwa na tetesi kuwa kimaadili ya Taaluma ya Udaktari, ni kwamba ikitokea daktari wa kiume anamfanyia uchunguzi wa kitaalam mgonjwa wa kike halafu daktari akapata mhemko then...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wapenzi wana Jf, Napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatizo gani yanaweza kumpata. Msaada tafadhari
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali imeishiwa vipimo hivyo. VCT ya hapo (Hindu Mandal Hospital) ni Tsh. 10,000/=. Na Pregnancy test (Kipimo cha Ujauzito) nayo ni hivyo hivyo!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jaman. Tumemkata mtoto kilimi toka asubuh mpaka saa 7 hii mchana analia,aliyemkata amesema hakuna dawa kitapoa chenyewe,tumetumia njia ya kienyej, mwenye uwelewa wa dawa yoyote ya kutuliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Mimi kuna kitu kinanitatiza. Kuna madhara gani mtoto kumlaza kifudifudi?ie. uso kuelekea chini? Nauliza hivi kwa sababu mwanangu ukimlaza uso juu dakika 10 nyingi keshaamka...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Bandugu naombeni kujua, kip kinasababisha tatizo la mate kujaa mdomo usuku unapoamka unakuta mdomo umejaa mate. nifamishen plz wataalamu
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Ushauri wenu tafadhali....
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…