Wanajamvi,Hivi kuna umuhim wa kujuana groups za damu kwamba zinaendana or not??Jee nini madhara ya groups kutokuendana??Na jee group O aoe mtu wa group gan?Group A,AB pia wafaa kuoana na watu wa...
Wakuu! Habari zenu??
Mimi mwenzenu hapa nasumbuliwa sana na usingizi baada ya kupata chakula cha mchana.
Tatizo ni nini hasa?
Kuna solution ya hili tatizo wakuu??
Kinapelekea Watu Wanene Kuwa Na Tabia Ya Kujamba Sana Na Hovyo Hovyo Lakini Pia Watu Wembamba Kuwa Ndiyo Vikojozi Maarufu Wa Vitandani?
Wanasayansi Karibuni Mtuelimishe!
Habar za sahizi wakuu,
Najua kwa kufika hap na kuandka hya ntawza kupata suluhisho sahihi kwa kile kinacho nisumbua wataalam wa saikolojia naomba mnisahidie juu ya hili mimi ni kijana me.
Kuna...
Nimekuwa adicted to coffee,nina mwezi mmoja tangu nianze kunywa kahawa seriously sijaona tatizo lolote,je inaweza kuniletea madhara yoyote hapo baadae?
Ndugu zangu wana jamii foum mimi ni kijana wa miaka 27.... Juzi nimeamka asubuhi nikapatwa na mauivu kono wa kulia baadae ukaamia mkono wa kushoto na ukashka hadi kwenye viganja.... Nimeamka jana...
Wakuu habari za sahizi
Nna shida ya nguvu za kiume wana jamvi nafkiri kuna doc anaeweza kunsaidia katika hili au mtu yeyote anaefahamu maswala haya. Tatizo ni kuwa nna wahi sana kufika...
Asalaaam..naomba ushauri wenu..nina mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 11,ameibua tabia ya kulamba mkojo wake pale anapo kojoa sakafuni...hulala sakafuni na kuulamba...Je anatatizo la kiafya au ni...
Kumezuka tabia sugu Ya hivi karibuni kwa madaktari na manesi kupiga picha faili la mgonjwa lenye taarifa Za mgonjwa ila zina misdiagnosis Au mismanagement kwa muktadha wa kuonyesha kuwa daktari...
A devastated mother has told how her daughter died when her metabolism "exploded" after taking diet pills she bought on the internet.
Tragic Eloise Aimee Parry, 21, "burned up from the inside"...
A devastated mother has told how her daughter
died when her metabolism "exploded" after taking
diet pills she bought on the internet.
Tragic Eloise Aimee Parry, 21, "burned up from
the inside"...
Naomba kufahamu madhara ya kiafya yanayoweza kumpata mtu hasa Mwanamke ambaye anaweza akaa hadi siku mbili au tatu bila kuoga na hata kupiga mswaki? Haijalishi ni sababu gani inamfanya anashindwa...
Mke wangu anaujauzito wa mwezi mmoja huu ni ujauzito wake wa3 !Ila cha kushangaza unampeleka puta kwa kutapika mfululizo hadi amekonda kwa kutokula chakula cha kutosha kwa wiki mbili sasa ,hivi...
Habari wakuu!
Nimekuwa na tatizo la kusisimka mwili mpaka kufikia kupandwa na hasira za ghafla pindi nionanapo vitundu vidogovidogo. Vitundu hivyo vyaweza kuwa katika picha, rangi katika wadudu...
Jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu, nimebaki ku mkwepa kwepa.
Nimekwenda...