Hakuna kitu kinanipa shida kama kwenda kupima afya yangu na kuijua afya yangu, nimejitahidi sana kujipa moyo lakini nashindwa kabisa kupata ujasiri wa kupima, nakumbuka mara ya mwisho pale Mbeya...
Habari zenu wapendwa,,tafafhali naomba kujua tiba ya pimples usoni maana uso wangu una mafuta halafu una pimples ambazo ukizikamua zinatoka mafuta.....Kama kuna mtu anaejua tiba yake anifahamishe...
Habari.
Naombeni kujuzwa kwa anayejua. kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna...
Ninawasalimuni wana jamvi wote. mimi nawaomba wataalam wa afya wanisaidie kwajambo hili, mkewangu hana kabisa hamu na tendo la ndoa tangu miaka 2, tatizo hilo lili mwanza mwaka1 baada ya kumwoa...
Naomba msaada wa mawazo yenu na ushauri kwa ujumla.mm huwa na sumbuliwa na kichwa sio mara kwa mara nilifanya vipimo mbali mbali lkn kichwa kilionekana hakina tatizo ndipo nilipo andikiwa kwenda...
Naomba mtusaidie kuna ukweli katika hili? eti kuna mtu kanipa habari kwamba kunywa dawa ya kienyeji ya alovera inasababisha ugonjwa wa Ini ...ni kweli jamani?
Wiki iliyopita nilikuwa na mradi fulani maeneo ya vijijini mkoani Shinyanga.
Katika pitapita niliona mmea fulani hivi una majani mapana yana miiba, na unatoa matunda fulani nayo ambayo yakiwa...
Naomba msaada wa kitaalamu, ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada.
Nasikia kuna mtu kafariki baada ya kumeza Panadol kwa kutumia Soda.. Kuna reaction gani hapo jamani hadi mtu anazidiwa na kisha kufa kisa Panadol + Soda?
This Is Why You Should Be Putting An Onion In Your Sock At Night When You Go To Bed
So, you know how there are always crazy old wives' tales that seem too good to be true, and don't seem to...
Naomba msaada wa kitaalamu,
Ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k.
Naomba msaada
Msaada wakuu: Mtu wangu wa karibu ameathiriwa sana na losheni na scrub ngoz yake ni yenye mafuta imesinyaa sana na mafuta bado yapo naomben njia ya kusawazisha ngozi yake iwe kawaida hasa kwa dawa...