Nimepitia hii article nikasema ni share na wana JF Doctor Forum
===========
Marijuana kills brain cancer, study confirms
The active molecules in cannabis kill brain cancer - another study has...
Habari wadau,nifuraha yangu kupata nafasi ya kujumuika na nyie humu jf,mm nilikua naomba kama kuna anayejua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic shave atujulishe,ni hayo tu wadau karibuni...
Mitral valve prolapse
Mitral valve prolapse (MVP) is a common cause of a heart murmurcaused by a "leaky" heart valve. Most cases of mitral valve prolapseare not serious and only need to be...
Miaka ya hivi karibuni watanzania tumeshuhudia mauaji makubwa ya kikatili ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Hivi tujiulize, serikali imeshindwa kukomesha tatizo hili? Je, jeshi la polisi liko wapi...
Naomba kuuliza ovulation au kupevushwa kwa yai la mwanamke huwa kunachukua muda gani masaa mangapi au siku ngapi. Ukijisikia kukoment sawa haujisikii naomba upite
habari zenu wapendwa naomba kufahamu hospitali nzuri inayoweza kupanga vyema meno yaliyokaa vibaya pamoja na gharama na je naweza kutumia bima kugharamia matibabu hayo?
Ni kweli kwamba ukianza siku yako na na juisi ya limao ya vuguvugu na asali kijiko kimoja, itakusaidia kuondoa baadhi ya uchafu katika ini, kuongeza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa, na...
Wakuu tunapenda kujua madakitari wa Wanaume wa kutibu magonjwa kama hayo, Kuna Ndugu yangu anasumbulia na hilo tatizo naombeni masaada wakuu humu ndani
wewe km unataka kupungua kitambi uwe na six pack bila hata kuangaika kufanya mazoezi magumuu ni rahisi tu km ww unafanyakazi andika barua ya kuacha kazi halafu njoo mtaani tuungane kubeba bahasha...
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
Kwanza kabisa heshima mbele! Samahan wadau nilitak jua km ni tatizo au ni kawaida kwa mwanammke siku za kupat hedhi kubadilika badilika hapa na maana kuwa mwez huu anaweza pata hendhi tareh 15...
Wanasayansi wanasema sasa inawezekana kufanya transplant ya kichwa/mwili.
Kwa maneno mengine ni kwamba, wanaweza kuhamisha kichwa cha mtu na kukiweka kwenye mwili mwingine. Kwa hiyo kama kwa...
Wana jamvi nina tatizo la kukujoa mkojo wa njano kwa muda wa miaka kama mitatu sasa na ninaumwa tumbo upande wa kushoto, nimefanya vipimo mara mara kadhaa lakini naambiwa sina tatizo lolote...
Leo wanaume wa makamo na hata vijana wanapatwa na maradhi au matatizo ambayo zamani yalikuwa ya wazee wa miaka 60-70, kuendelea…
Kati ya sababu ni;
1. Namna tunavyokula. Vyakula vyenye...
Wu Xiaoyan, a 22-year-old woman from China, has a serious deformity of her face. She was called an Avatar girl...
Wu Xiaoyan's disease is called fibrous dysplasia (it causes growths in bones)...
Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda...
Habari If
Jamani Mimi Leo ni siku ya tano cjapaja kwenda na sijisikii kwenda chooni kujiasaida haja kubwa. Naombeni ushauri wenu jamani nifanye mini. Maana sio kawaida yangu kukaa cku zote hizo