Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Samahani wataalamu, nina mke wangu ametoka katika siku zake tangu tarehe 12 mwezi huu, sasa tarehe 24 kama nimekutana nae anaweza kupata ujauzito?
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Hi wapendwa, Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari zenu. Jamani mwenzenu nasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara,kutapika japo si sana kwa siku naweza kutapika mara 2. Siku 2 zilizopita mwili ulikuwa unauma vibaya sana kiasi kwamba nikienda...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nina siku kama tatu hivi naenda chooni zaid ya mara sita kwasiku tumbo haliumi ila choo kina harufu mbaya sana pia nakaa zaid ya masaa sita nikibeua chakula kinakuwa bado hakuja sagika tumboni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndg zangu habari za majukumu. Mwanangu anauvimbe sehemu ya chini ya mbavu kushoto kuelekea kwenye tumbo.Uvimbe huo ni kama mfupa lakini sio. Wenye kujua hili tatizo karibuni kwa msaada. Mtoto...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu kuujua mzunguko wangu kwa ujumla, na mkanielekeza cku muhimu ya kupata pregnant lakini mpaka leo holaa na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini JF, Ni muda gani maximum ambao mtu anaweza kupimwa na kukutwa ana HIV?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Asalaam aleykum. ku poop = imetumika kama kupata haja kubwa. ku pee = imetumika kama kupata haja ndogo Kuna mambo mengi yanayotokea labor wakati wakujifungua but the most embarrassing ni vitu...
0 Reactions
135 Replies
35K Views
Wadau habari, Hebu tuelezeni mliotumia kama ni kwli mayai ya ndege huyu ni suluhisho la afaya. Asanteni :yo:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kujua dawa ya kutibu maradhi haya. Asanteni :yo:
2 Reactions
0 Replies
7K Views
hope wote mu wazma, jaman naombeni mnisaidie hivi kuna dawa za typhoid ambazo husababisha damu kupungua mwilini? hope ntapata majibu mazuri.
0 Reactions
3 Replies
923 Views
MziziMkavu! Kilimi changu kimerefuka balaa, wananishauri kwenda kukikata lakini sina huo mpango kabisa, hapa ninakohoa balaa, plz help instaed of kukikata nitumie dawa gani?
1 Reactions
19 Replies
19K Views
Wadau kwanza salamu! baada ya salamu naomba ushauri wa kitaalamu juu ya maumivu makali ya mgongo au kama kuna mwenye kufaham walipo madaktari wa tatizo hilo anielekeze tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma na nimesikia sehemu mbalimbali kua ulaji wa bamia sana na nyanya chungu unasaidia uke kua na utelezi.Hali inayopelekea kupunguza michubuko wakati wa kujamiiana. Sijui kama hii iko...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake? Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Kwa wenye uelewa, nini chanzo na ipi ni tiba ya matatizo ya dada huyu? 1. Anapata maumivu makali wakati wa hedhi 2. Mwezi huu hajaingia hedhi, maumivu yemekuwa makali zaidi, maziwa nayo yanauma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari JF Doctor... Kama kuna mada ilishawahi kuzungumziwa hapa jukwaa nitaomba Link au hii mada iunganishwe. Itakuwa msaada sana kwa sisi wazazi na wazazi watarajiwa. Kuna wazazi waliofiwa...
5 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba msaada wa mawazo maana i am running out of ideas. Nina mtoto wa miezi 8 anayesumbua kula. Namjaribisha vitu tofauti tofauti ila ni vichache sana anavikubali. Nikisema nimemjaribisha ni...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, Mwanangu tangu tarehe 9/2 alikuwa anaharisha, tukampeleka maabara kapimwa kinyesi (stool), tuliomba apimwe kipimo kimoja tu, na kukaonekana kuna Amiba, dakitari alituandikia...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Naandika huu uzi nikiwa eneo la tukio (chooni), nimekuwa nikihisi haja kubwa lakini baada ya kwenda msalani kushusha madini, nikianza kufikiria / kutafakari mambo mengine tu baaasi...ngoma...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…