Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini marafiki Leo nimeona niwafundishe WANAWAKE wa kileo mambo yasuhuyo WATOTO na jinsi ya KUMNYONYESHA MTOTO ALIYE MCHANGA, Msishangae kwaniini nimekuja na mada hii hapa kwani ilitokea...
16 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari. Sina lengo la kukejeli maumbile ya watu ila ningependa kujua,je kuna uhusiano gani kati ya unene na usingizi. Ukiangalia watu wanene wanapenda sana kulala lala,iwe kwenye daladala au gari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwani Hatujambo WanaJF, Kila Kona Ya Ulimwengu Tunazungumzia Kuhusu Vyakula Vya Viwandani (artificial foodsubrtance) na vyakula vya asili (natural foodstuff).Kwani vipi bora zaidi na zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This World Health Organization map shows the percent of the population vaccinated for measles in each country in 2013. Dark green is at least 90 percent. Light green is 80 to 89 percent. Orange...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
hivi wadau ingekuaje kama unywaji wa gongo ungekuwa unatibu kansa,presha na kisukari?walevi situngekuwa wengi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nadhani tu wazima wa afya njema.NDUGU WANAJAMII kma kichua cha kilovyosema.kama kuna mtu anazijua blog za matibabu ya kwa matumizi ya vyakula vya asili kwa binadamu.na vipi afanye vyakula hivyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ninatatizo la kutoa maji maji sehemu za siri na yanakua na harufu mbaya ili tatizo linanisumbua kwa miaka miwili sasa... Je nitumie dawa gani niondokane na harufu hii wadau?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Je, Chakula aina hii kinafaa kuliwa usiku (kabla ya kulala)? Na je kina faida au madhara? Natanguliza shukurani za dhati, Amen.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari za hapa. Ilianza taratibu tumbo kujaa upepo na kutokua na amani kiasi cha kukosa hamu ya kula. hali hiyo ilijitokeza kwa siku ambazo nimekula viazi vitamu (chai ya asubuhi) kwa kawaida...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, mimi kijana wenu nasumbuliwa na mguu sasa miaka miwili, nimehangaika kwenye mahospitali huko wameshindwa. Tatizo langu ni kwamba, nilianza kuumwa mgongo kwa saana baadae mguu wa kulia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow..... Nina kabinti cha one week,nilijifungua week iliyopita....sasa since day one amekuwa ananyonya balaa....maziwa yalipochanganya akawa ananyonya mpaka yanakauka kisha anaanza kulia sababu...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
Dawa inaitwa Madalah, yenyewe inatibu maradhi mengi, pia ukiweka mchanganyiko wa mti mwingine unafanya itibu maradhi mengi zaidi. Inatibu kisukari, pressure, inaongeza cd4 mwilini, nguvu za kiume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Wakongwe. Kuna ndugu yangu hana kabisa appetite ya chakula,hata kiwe kizuri vipi anakula kidogo sana.Dawa gani ya kuleta njaa?
0 Reactions
12 Replies
8K Views
habari zenu wapendwa Nina mdogo wangu anaumwa sana mtoki tangu juzi, hana kidonda wala infection yoyote. akienda hospital doctor anamwambia anywe dawa za maumivu tu na hazimsaidii. Ila kuna...
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Jamani naomba kujua faida za mti huu maana nasikia unatumika kwa uzazi Wa mpango na nisumu (mzizi mkavu)msaada kaka
1 Reactions
8 Replies
13K Views
A study being published online September 15, 2014 in the Journal of Clinical Oncology reports that men with a specific pattern of baldness at age 45 have a 40% increased risk of developing...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Wanajamii FF. nahitaji kuelimishwa juu ya madhara ya madawa ya kemikali katika kilimo cha bustani za mbogamboga kwa BINADAMU. na nahitaji kujuzwa madawa ya asili ya kulinda na wadudu wasiharibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi mbona watu wanakula sembe? Dona ambayo ina kiini lishe kinaondolewa. Watu wanakula makapi. Ugali mweupe. Ni ustaarabu au ulimbukeni? Jamii inatakiwa kuhamasishwa kula dona ili akili na mwili...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…