Jaman hivi ni kitu gani huweza kusababisha uwiano wa ukuaji wa kichanga tumboni na umri wa mimba kutolingana? Maana mtu miezi Tisa imetimia lakini amejifungua mtoto kama njiti.
Mara kadhaa watoa huduma za Afya hapa nchini wamekuwa wakishutumiwa kwa kutoa huduma chini ya matarajio ya wateja wao yaani clients. Inawezekana kabisa kukawa na ukweli katika hili au pengine...
Ndugu zangu, habari....
Nataka kupunguza uzito wa mwili wangu,kiufupi nina uzito wa ziada wa kilo takribani 20 hivi...
Sasa katika pita pita zangu kwenye website ya Kaymu nikakutana na dawa...
Habari ndo hiyo wana MMU naomba mnipe uzoefu wenu.
Mara nyingi ninapocheza mechi za ugenini lazima nitumie zana (condom) na ku-boost ubongo kidogoo either kwa value 2 nikimix reds au safari 1 tu...
Nimejaribu Kuangalia Watu Wa Rika Tofautitofauti Na Kugundua Kuwa Wanawake Wanakua Usiku Na Mchana Na Mwanamke Hukua Usiku Tu Ndo Maana Wanawake Wanaweza Kuolewa Mapema Na Wanaume Waliowazidi...
natumai wazima jaman
nimekuwa nikisumbuliwa na kizunguzungu,mara ya kwanza nilijua ni typhoid kwan nilikuwa nayo.bt now natumia dozi ya typhoid lakini kinanipata.lakini siku nikishinda na njaa...
Habari,mwanangu ana umri wa miaka mitatu sasa lakini amekuwa akisumbuliwa nakifua kisichopona kwa muda mrefu.tatizo lilianza akiwa na mwaka mmoja na miez mitatu alipotumia dawa za minyoo.akaanza...
Ni dawa-lishe ya ajabu inayotumia teknolojia ya kisasa kwa kuhuisha mfumo wa kinga mwilini na kuimarisha afya ndani ya wiki nne tu. Wagonjwa wa ukimwi, kansa, kisukari, malaria sugu, figo, presha...
Habari wana jamii forum, polen na majukumu mbalimbali.nilijifungua mwaka 2011 na baada ya kujifungua nilifunga kizazi.tangu hapo sijaona siku zangu, jambo ambalo linanipa maswali sana.nilienda kwa...
Naombeni msaada wa tatizo ninalokabiliana nalo tokea Sept 2012 hadi sasa.
Nikilala siwezi kutumia upande wa kushoto na pindi nikifanya hivyo naona kila kitu kinazungunga mle chumbani na mara...
Most likely especially for those desperately trying to come up with a perfect excuse to ditch the gym without having anyone accuse them of being quitters, researchers published a new report saying...
JOB VACANCY TODAY 21/1/2015
THE FACILITY IS HEREBY TO ANOUNCE FOR ONE POSITION OF MIDWIFE NURSE WHO INTEND TO WORK WITH AGREEMENT OF BEING PAID THE SALARY WITH REGALD OF GOVERNMENT RANKING...
Habar.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa,
Kwa kuwa Mke wangu kanipigia sim akinieleza kaziona siku zake,
Kinyume na mimi nilivyokua natarajia kuwa ni mjamzito,
Wote ni wazima wa afya sijui ni...
Jamani mwenzenu nimepatwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri (mrija wa uume), jumapili nilitoka kufanya bila kinga, kwa wanaofahamu jaman huu inaweza kuwa ishu gani? Hospitali gan wanaweza...
Kuna watu inatutokea unaamka asubuhi na kukuta sehemu ya nywele kiachwani au kidevu ghafla zimenyolewa kwa mtindo wa Ki/vishilingi an nywele huchelewa sana kuota tena. Hii kisayasansi...